House girl kufua boxer zangu ni sawa kweli?

Siyo sawa,hiyo ni sawa na utupu wako hata mkeo hupaswi kumpa afue..unless labda unaumwa sana. Kila ukioga fua boxer yako. Ni watoto tu hufuliwa pichu zao.
 
Wanaume mkioa mnakuwaga kama vilema....hadi boxer ufuliwe? Unashindwaje kifua boxer yako jamani
Swala sio kushindwa kufua boxer, ila kufua boxer ni ishara moja wapo ya upendo na mapenzi moto moto na wala sio kingine, ila wenye fikra kama zako wataona utumwa, msiwe mnatazama kila kitu kwa usawa yani huwa mnafeli hapo tu, na ndoa inapoteza dira.
 
Mke wangu ni zaidi ya huyo dada! Yaani hadi unajuta kuoa. Tabu watoto. Ndoa ni laana aisee...
Dah!
Unafuga dudu...litarithisha mpaka hao watoto...
Keshajua huyo kuwa hupindui kwake ...jikakamue..uoneshe viashiria flani hivi tofauti ..atashtuka..
 
Swala sio kushindwa kufua boxer hapo ni upendo na mapenzi moto moto na wala sio kingine, ila wenye fikra kama zako wataona utumwa, msiwe mnatazama kila kitu kwa usawa yani huwa mnafeli hapo tu, na ndoa inapoteza dira.
Sawa kabisa mana kuna hadi wanaume wanawavalisha mademu zao pedi km ishara ya upendo
 
Ptuuuuu, huyo mwanamke mwehu kabisa,
Ndio maana watu wanapinduliwa ktk familia
Haijalishi umechokaje na kazi, kazi zako kama mke lazima utimize wajibu wako,
 
Wanaume mkioa mnakuwaga kama vilema....hadi boxer ufuliwe? Unashindwaje kifua boxer yako jamani
Yaaani wananikera sana!
Uchafu na uvivu toka majumbani kwao!

Ndio maana midume inanuka sana hapo kati kwenye daladala utajuta akishika BOMBA karibu yako!

Uvundo!

Wamama wafundisheni, watoto wenu kujihudumia bado mapema, ni mizigo wakikua kwa familia zao!

Kwani mke mtumwaa! Khaaa!
Kutafuta mnatafuta wote,kula mnakula wote,ke afue boxer
Me nawe ufue braa!
 
MKE WAKO HANA AKILI.....ANAJIDAI KULIALIA NINI NA WE UMEMWAMNGALIA BILA HATA KUMPIGA BIT LA KWELI...AF ANAZURUMU HOUSE GIRLS WA WATU.....DAH BOXER HG...NINGEMSAKA NILALE KABISA SASA...MKE KASHAZOEA NDOA
 
Yaaani wananikera sana!
Uchafu na uvivu toka majumbani kwao!

Ndio maana midume inanuka sana hapo kati kwenye daladala utajuta akishika BOMBA karibu yako!

Uvundo!

Wamama wafundisheni, watoto wenu kujihudumia bado mapema, ni mizigo wakikua kwa familia zao!

Kwani mke mtumwaa! Khaaa!
Kutafuta mnatafuta wote,kula mnakula wote,ke afue boxer
Me nawe ufue braa!
Unaonekana wewe sio mwanamke, ungekua mwanamke usingejadili majikumu yako, kama ni mwanamke pole mume utamsikia kwenye bomba utaishia short time au utaishia kudanga tu
 
Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza swali hili kutokana na utaratibu uliopo nyumbani kwangu. Juzi nilikuta kuna ugomvi kati ya wife na house maid wetu, ambapo yule binti alikua amefura kwa hasira, kasimama katika mlango wa Chumba chetu akidai apewe pesa zake asepe usiku huo huo na alikua tayari ana begi mkononi.

Nikambembeleza, nikamuomba asiondoke usiku huo asubiri asubuhi, wife akatoka chumbani kama mbogo na kunigeuzia kibao kwamba kwanini nambeleleza kwamba nimwache aende na hapati hata senti, ukawa ugomvi mkubwa sana, ambapo binti kwa hasira akamjibu wife kuwa "" kama wewe ni mke bora usingeshindwa kumfulia mmeo hata boxer hadi unaleta kwangu, hufai""" kwa kweli sikuwahi kujua huwa anampa maid afue boxer zangu.

Huwa naona zimeshafuliwa na kupigwa pasi mimi navaa tu, juzi ndio niligundua hili suala, anyway yule binti alingangania kuondoka usiku ule kwamba yeye ni mtu mzima anajua anakoenda, tukaenda kwa Mjumbe nikampa nusu ya pesa anazodai zingine atarudia kama laki tatu hivi, kumbe siku zote nikitoa mshahara wife hampi anadai anamtunzia kwamba ataharibikiwa akimpa monthly.

Jana nikawa namuuliza wife kuwa kumbe boxer pia huwa unampa afue? Badala ya kunijibu kajikasirisha uongo na kweli ili tuiache hiyo mada, kwamba inakuaje nina mtetea housegirl hadi kufikia hatua kumbembeleza asiondoke, anyway hayo yakaisha.

Ila tu nikajiuliza swali hivi ni jambo la kawaida kwa maid kufua boxer zangu? Mimi ndio sielewi inavyokua maana wakati mwingine pale mbele ya boxer huwa panatengeneza miduara ya mabaki ya mbegu mara baada ya tendo usiku, yale matone huwa yanaendelea usiku na kukaukia pale.

Sasa ni sawa kwa housegirl kuifua nguo hiyo?
mkuu fua tuu boxer zako usitegemee mke kukufanyia kila kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom