snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,337
unamaana mume anaamabaiwa mambo na mtu anayenisalimia shkamoo ???? uwiiiiiiiiiiiii
ahahahhahhahhahahha chezeya watu na mbinu zao!utalia kimarangu siku hiyo!
unamaana mume anaamabaiwa mambo na mtu anayenisalimia shkamoo ???? uwiiiiiiiiiiiii
ahahahhahhahhahahha chezeya watu na mbinu zao!utalia kimarangu siku hiyo!
hiv platozoom hauna ID nyingine inayoanzia na S na kuishia na O,niambie mimi tu bana!Nipo nipo, we mwenyewe wajua sisi ndio wazawa wa nchi hii. Huu uzi usiuchekee nakwambia.Usije kuta semegi ndiye kaposti hapa halafu kasingizia mkewe kaenda kujifungua.
Be warned!
yaani umenichekesha sana shostito wangu............ na hivi wachaga hatujui kuomboleza sijui nitakualika wewe?
Wife yuko mkoani kwa ajili ya kujifungua. Tuliamua aende huko kwa kuwa ni uzazi wake wa kwanza na hapa mjini hatuna ndugu wa kuweza kusaidia mambo ya kumkanda, kumpikia na huduma nyingine kwa mama mzazi.
Akiwa anajiandaa kuondoka, tuliletewa kasichana kadogo ka kazi umri miaka 16.
Kwa kweli sina mazoea nako na muda mwingi niwapo home nautumia kufanya kazi zangu za ofisini.
Leo asubuhi nilimwambia mtoto aniandikie orodha ya vitu tunavyohitaji kwa matumizi ya nyumbani.
Muda huu ndio binti kanipa hiyo orodha ili kesho nikafanye shopping.
Nimeipitia list, na nilipoguza ukurasa wa nyuma ndipo nkakutana na hiyo barua ya mapenzi.
Binti kaanza kwa kunisifia, akamaliza kwa kusema yuko tayari kuwa mpenzi wangu, na anasema tufanye iwe siri mke wangu asijue.
Anadai atahakikisha anamheshimu na kumtii mke wangu.
Hapa nilipo nimechanganyikiwa, maana katoto haka ni kadogo sana sijui ujasiri kameuptata wapi?
he he heeeeeee, baada ya kuzinguana na vitoto sasa nimeamua kuwa na mmama pale kwangu.........
mkwala wa kwanza siku aliyokuja tulimtambulisha humu ndani huyu ni baba na huyu ni mama..... hakuna "uncle/shemeji/kaka/wala binamu" na mimi siyo dada yako, sawa?
hata kama mkubwa kwangu, mimi naitwa mama na baba ni baba........ nisikie shemeji inatamkwa humu
hiv platozoom hauna ID nyingine inayoanzia na S na kuishia na O,niambie mimi tu bana!
unamaana mume anaamabaiwa mambo na mtu anayenisalimia shkamoo ???? uwiiiiiiiiiiiii
hapo mwanzo inawezekana rafiki, hata tu ukisafiri na umemwacha hg home kwa hiyo anaweza andika mahitajiFP mm naweza kusema wababa wa kileo wana kazi. hivi kweli waweza kumwambia HG aandike matumizi ya ndani kwako?? hivi umewahi kuona mama hayupo kaenda kujifungua akamwacha binti na baba?? hapa nina shaka napo hivi kwani ni kawaida kweli?
haya tufanye ni kweli inakuwaje binti wa 16 yrs anapata ujasiri wa hata kujua swala la siri hivi uthubutu huo anapata wapi? hapo nyumban kwako anasiku ngapi hadi umewaza kumpeleka qt?? na je umemshirikiha mkeo swala la qt??
huyo ni wa jirani, yupo out of bound..... huyu wa ndani lazima ajue nani anamuweka mjini.....haisaidii aisee. Hivi ulishawahi kuona dada wa jirani anakuamkia shkamoo afu mumeo anamuambia mambo kaka? Hahaha, dunia ina mambo!
yani hapo kwenye bold hapo mh!manake we nawe kwani unafaa basi!ahItaje au ongezea herufi kidogo.Kuna watu wananifananisha humu.
Kuna mmoja alisema nina ID nyingine inaanzia na herufi T........!
Una hofu, usije kuta mie ndiye mzee mwenyewe wa kunyumba!
Kabisaa..
mtu ukiwa unaonesha sura ya kazi sio tu housegirl...hata officemate hakuletei habari hizo...
sasa huyu housegirl keshamsoma na anajua anachokifanya....kazi ipo...
he he heeeeeeee, semeji alivyo na sura mbaya unafikiri hg anaweza kufanya huo ujinga? hajitaki?Nipo nipo, we mwenyewe wajua sisi ndio wazawa wa nchi hii. Huu uzi usiuchekee nakwambia.Usije kuta semegi ndiye kaposti hapa halafu kasingizia mkewe kaenda kujifungua.
Be warned!
utakomaje sasa shosti! lol! andaa hiyo KP tuje tumfunde mwali, lol! atapata maujuzi ya kila mkoahahahahah! sipati picha unaitwa mama na bibi lol!
lkn kiukweli mabinti wa azi walikuwa zamani wa siku hizi wankuja kazini kimtego kweli tena wanapewa shule watokako kwamba ukimkuta baba anaingilika basi mpindue mama. wengine wanakuja wachawi, wengine visirani basi kero tupuuu??
mm nina mdada mmoja fp kanailelea wanangu wote ana miaka 9 kwangu, imebidi hadi nafasi moja ya bima ya afya nimpatie kwa jinsi alivyonilelea wanangu ila maskini weee ameposwa soon ataenda kwake sijui nitakomaje. uzuri mm huwa hawa mabinti nakaa nao hadi wa resevu akitoka mmoja mwingine wnwingia soonest na nikikuona huelekei unaondoka ifuatavyo yaani sina muda kabisa wa kusumbuana na vibinti.