House girl huyu nimfanyajee...?

House girl huyu nimfanyajee...?

Mwalupale

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2012
Posts
1,048
Reaction score
676
Nina miaka 37 , nina mke wangu niliefunga nae ndoa kwa miaka mitano sasa na tumebahatika kupata watoto wawili.

Recently, Nilitoa onyo hapa nyumbani kwangu kuwa hakuna mtu kuwasha taa kwenye chumba ambacho hayupo kwa muda huo ( majanga ya Prepaid meter ).

Siku moja jioni, Niliona taa ya chumbani kwa house girl wetu inawaka na wakati huo nilihisi atakuwa jikoni anapika, nikajisemea moyoni, "hii mijitu migumu sana kuelewa" huku nikiwa naingia kwenye hicho chumba ili niizime hiyo taa only to see the maid in her naked glory towelling and both of her huge 'twin peaks' are very firm on her chest..!

Nilionyesha mshituko mkubwa nilipomuona na nikahisi atanifikiria vibaya. ( House girl wetu ana umri wa miaka 18 kwasasa and she has a crazy physique body of a local girl ).

Nilimuomba msamaha na pia kumsisitiza kuwa awe anafunga mlango kama yuko ndani.

Chakushangaza alitabasamu na kunijibu "samahani baba, karibu".

Tangu siku hiyo amekuwa akiniangalia kwa macho ya matamanio ( coy looks ) kitu ambacho hakuwa akikionesha hapo mwanzo.

Na pia amekuwa akijaribu kwa njia zote kuomba afanye usafi pale ambapo mke wangu anakuwa hayupo na vituko vingine vingi tu siwezi kuvitaja vyote hapa.

Sasa najiuliza je? Nimwambie mke wangu kuhusu hili jambo? Au tumfukuze huyu house gal arudi kijijini? Or Should I simply ignore and play along ?"
 
37 minus 18 ni kama 19 years which would make you to be her father kama ungetaka those days.
married, having one kid. think straight using your upper head.acha na hako kakichwa kadogo ka chini.
 
Mmmh hata kwa mwanao unashindwa kuamua mtoto mdogo huyo?
 
Wacha tamaa enzi zako za kugegeda vibinti ishaisha, kama anaendelea na mabo hayo ya mitego mletee vijana wenzake kwani wewe huna wadogo zako wa kiume waje wamliwaze ili aache kukutamani wewe, na hii inatokana na kula vizuri hafu hafanyi mazoezi, Nakushauri umletee kijana wa lika lake wamalizane ila usimwambie kuwa amgegede au amtongoze binti.

Nina miaka 37 , nina mke wangu niliefunga nae ndoa kwa miaka mitano sasa na tumebahatika kupata watoto wawili. Recently, Nilitoa onyo hapa nyumbani kwangu kuwa hakuna mtu kuwasha taa kwenye chumba ambacho hayupo kwa muda huo ( majanga ya Prepaid meter ). Siku moja jioni, Niliona taa ya chumbani kwa house girl wetu inawaka na wakati huo nilihisi atakuwa jikoni anapika, nikajisemea moyoni, "hii mijitu migumu sana kuelewa" huku nikiwa naingia kwenye hicho chumba ili niizime hiyo taa only to see the maid in her naked glory towelling and both of her huge 'twin peaks' are very firm on her chest..!! Nilionyesha mshituko mkubwa nilipomuona na nikahisi atanifikiria vibaya. ( House girl wetu ana umri wa miaka 18 kwasasa and she has a crazy physique body of a local girl ). Nilimuomba msamaha na pia kumsisitiza kuwa awe anafunga mlango kama yuko ndani. Chakushangaza alitabasamu na kunijibu "samahan baba, karibu". Tangu siku hiyo amekuwa akiniangalia kwa macho ya matamanio ( coy looks ) kitu ambacho hakuwa akikionesha hapo mwanzo. Na pia amekuwa akijaribu kwa njia zote kuomba afanye usafi pale ambapo mke wangu anakuwa hayupo na vituko vingine vingi tu siwezi kuvitaja vyote hapa.

Sasa najiuliza je? Nimwambie mke wangu kuhusu hili jambo? Au tumfukuze huyu house gal arudi kijijini? Or Should I simply ignore and play along ?"
 
as long as umekula kiapo kwa mkeo achana na huyo beki tatu ila sishaur umfukuze rather jitahd kuwa siriaz na umuonyeshe tu kuwa ur a father coz before hujamkuta room kwake alikua na adabu na aliefanya kosa ni ww kwa kuingia rum kwake bila tahadhar so lazma uwajibike kwa kumuonea nyeti zake.usimfukuze wala usimtafune
 
Wewe unaleta uzi huu hapa kutaka ushauri au unataka kutujaribu. Kwa umri wako wewe na huyo binti wako wa kuzaa unataka tukupe ushauri gani hapa??? Hakika kama huwezi resist vitu simple kama hivyo, what kind of a weak man you are??? Sasa mwambie mkeo uone moto wake. Mimi hizo Mercury (Hg) hata kama zingekuwa glittering kiasi gani siwezi chukua. Bora nikanunue CD kama mke sina au kasafiri. Ni kujidhalilisha!!!
 
usimfukuze ila kuwa serious naye, endelea kumuheshimu na umchukulie kama binti yako. kwa kufanya hivyo atamini kuwa uliingia chumbani kwake kwa bahati mbaya.
 
Mkuu acha mambo ya ajabu, umwambie mkeo ili iweje sasa!??, umfukuze kwa sababu gani!??
Acha kujivunga, hebu kula, mle huyo mtoto, tena mle vizuri hadi awe satisfied.
 
Uyo ni pepo katumwa kuijunja ndoa yako, trust me! Kemea kabisa na mpe za uso kuwa asikuzoee na ikibidi mwambie mkeo
 
Wacha tamaa enzi zako za kugegeda vibinti ishaisha, kama anaendelea na mabo hayo ya mitego mletee vijana wenzake kwani wewe huna wadogo zako wa kiume waje wamliwaze ili aache kukutamani wewe, na hii inatokana na kula vizuri hafu hafanyi mazoezi, Nakushauri umletee kijana wa lika lake wamalizane ila usimwambie kuwa amgegede au amtongoze binti.

Ushauri mwema wenye logic, maana ukichukua umri wa jamaa na HG wanatofautiana miaka 19.

Ni vizuri akauelewa ushauri wako, na mimi pia nnauchukua for future use.
 
Mkuu kwanza shikamoo.

Ulipo ingia chumbani kwake ulikosea, kitu kingine nakumbuka nikiwa jando nilifundishwa chumba cha mwanamke yeyote kama ninataka kuingia lazima nipige hodi.

Ilikuwaje hupigi hodi kwenye chumba kisicho kuhusu?

Mwenzio anajua unamtaka ila unaogopa ndio maana anakurahisishia mambo.

Umeyataka mwenyewe ndugu wala sio bahati mbaya, fanya unaloona ni sahihi kulingana na umri wako mkuu.
 
Ivi wewe unajua maana ya kuitwa baba....????
Huyo ni sawa na binti yako it seems wewe ni mhuni unamtolea jicho LA kumtaka ukiwa serious binti hawezi kukuonyesha tabia za kishenz shenzi hivi
Ona aibu simama kama baba use ur brain, take ur responsibility acha Tamaa
 
Back
Top Bottom