House decoration

Baraka issa

Senior Member
Aug 29, 2015
169
50
Tupo Mbeya tuna deal na marembo ya nyumba kama sehemu za madirisha ,milango , nguzo za nyumba.

Kwenye beam la kwenye varanda na sehem zingine nying ambazo zina weza zika wekewa marembo.

Mawasiliano yetu ni ; +255718930097 ;+255753422844 .

Karibuni sana.
 
Weka picha wateja waone hizo decorations waone kazidi zako, ushauri tu lakini
 
Back
Top Bottom