House boy wetu na Maza house wa jirani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

House boy wetu na Maza house wa jirani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ngonzi zomukama, May 17, 2010.

 1. ngonzi zomukama

  ngonzi zomukama Senior Member

  #1
  May 17, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani siku zote ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni jumapili nilikuwa naenda kanisani ghafla nikakumbuka nimesahau Tenzi na biblia nikajishauri bora nirudi hata nikichelewa nitaingia ibada ya pili wakati narudi haraka ili niwahi karibu kabisa na nyumbani nikamuona house boy wetu anaingia nyumba ya jirani nikajiuliza kulikoni hasa kwa style aliyokuwa anaingilia ya kunyata na kuangalia huku na kule nikadhani labda anaenda kuiba nikasema kimoymoyo "leo ndo mwisho wake" nikasimama nikajibanza sehemu ili asinione akaingia nyumba ya jirani na mimi nikawa namfuata taratibuuu nilipofika getini nikasikia maongezi yakunong'ona nikasimama ili nichungulie Mungu wangu kumbe mama mwenye nyumba ile na house boy wetu, sasa yule house boy ana mwambia hapa hapa yule mama anamwambia twende ndani mara akampandisha nguo Duh! me nikabaki nimetoa macho yule mama anafurahia he! nikaondoka haraka kwa ibu na woga sasa najiuliza je huyo baba wa jirani akija kujua atatuelewa? si ndo tutaanza uhasama wa ujirani? mbaya zaidi huyu House boy tuna undugu fulani je nikae kimya je ikitokea siku akamleta kwangu waka kutwa? hii imekaaje wana JF?
   
 2. Kobe

  Kobe JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 1,756
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  mkanye aache hiyo tabia kwani usipofanya hivyo utakuwa sawa unafurahia huo mchezo ambao si halali kwao, ni kumtendea kinyume mwenye kummilki huyo mama. Mtu mwema hukemea maovu anapoyaona hiyo ndio haswa la dawa yake.
  ukikaa kimya umeupenda huo mchezo kabsaa.
  TAFAKARI CHUKUA HATUA.....
   
 3. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Napata picha ya jogoo akimdandia tetea hapo kwenye blue... hii ni kiboko kwenye geti kama kuku ama mbuzi inamana huyo house aliondoka kwao yuko tayari mjomba ana kiu au maana sipati picha kwa kweli kufika kwenye gate na kudandia bila ya kuwa na steem yeyote ile... kweli duniani kuna mambo
   
 4. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Kuna wamama hawana maana, hata mimi kuna mama mmoja alikuwa jirani yangu nilikuja kugundua alikuwa anatembea na houseboy wangu! Duh! Au wanaume hawawafikishi wake zao kileleni, halafu ma houseboy wanajituma sana?

  Aibu hiyo!
   
 5. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  hapo mwite umuweke kitako umwambie na umuonye..............

  mama wa nyumba ya jirani anaweza akaku mind akijua umemuonya houseboy kuacha huo mchezo lakini bora 'nusu fedheha kuliko fedheha kamili'
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,049
  Likes Received: 24,053
  Trophy Points: 280
  Nachelea kusema kuwa hii stori ni ya kweli.
  Sijui kwanini lakini.
  Lakini tuendelee...............
   
 7. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2010
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwani shida hapa ni mama kutembea na house boy?Kwani house boy na yeye si mwanaume kama wanaume wengine?au cheo chake ndio kinachomfanya asile akipendacho?Sioni tatizo zaidi ya kuwa hilo tunda analokula kuna anayelitunza kwa gharama zake. FS.
   
 8. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #8
  May 17, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Mimi nampiga na transfer ama kumrudisha home ghafla! Siku wakihamishia game kwako na ikafumuka ndio utayaona hayo madhara yake! Ina maana hata wageni wako wa kike wako hatarini pia; Utajuaje kuwa hatawarukia?
   
 9. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #9
  May 17, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Siri kubwa ya uchafu wa aina hii inakuwa inajengwa na uchu tu; hakuana mapenzi hapo ni matamanio na mwisho wao huwa nimauti kwani hapo ni wazi kuwa kinga haitumiki na hujui huyu houseboy anapita kona zipi au mama ana vichenchede vingapi!

  Mungu atunusuru!
   
 10. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #10
  May 17, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  siku hizi wamama wengi wana matatizohayo. huwezi amini, mimi mwenyewe nimetongozwa mara nyingi sana na wamama watu wazima, bahati mbaya, kumbe nilishaokoka, wakaishia kulamba vumbi tu.
   
 11. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #11
  May 17, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Nadhani ni kujiendekeza; si ugonjwa au kitu nachofana na na hicho
   
 12. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #12
  May 17, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Bosi, huyo mama ni mke wa mtu! Huoni kama kuna tatizo hapo?
   
 13. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #13
  May 17, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,801
  Likes Received: 6,311
  Trophy Points: 280
  Masaki, mimi nadhani kuna tatizo KUBWA zaidi ya hili la ''kutofikishwa kileleni na wanaume waoi''

  Sasa kama huyo House Boy alitaka kummega huyo mama fasta fasta, pale nje, unadhani kweli huo muda ungetosha kufikishana kileleni?? -ukichukulia woga wa kubambwa, no time ya kupeana romance etc!
   
 14. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #14
  May 17, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Yes you are right! Itakuwa ni tamaa tu ya ngono zembe!
   
 15. ngonzi zomukama

  ngonzi zomukama Senior Member

  #15
  May 17, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chrispin cjakuelewa una maanisha nina danganya watu wazima na akili zao? ili inisaidie nini? ni kitu nilichokiona kwa macho yangu
   
 16. Mpelijr

  Mpelijr Member

  #16
  May 17, 2010
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Ohhh mi naona ni bora umpasulie ukweli huyo hboy coz isije baadae ikaja kuwa tafrani na wewe ukawepo...muonye mwambie aache ujinga atauliwa mjini hapa....wake za watu hao!
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  May 17, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  duniani inaelekea ukingoni ..labda kina baba hamuwaridhishi wake zenu inakuwaje jamani?
   
 18. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #18
  May 17, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Wababa tusiwe wakali sana kwa wake zetu, tusijenge ukuta baina yetu na wao, tusiwaone watu wa kututumikia na kusema ndio kila kitu jamani, nao wana feelings zao. Tuwape uhuru wa kuongea sometimes nini wanataka, kipi hawakipendi. wanaume wengi wanadhani sababu nimeshamuoa mwanamke basi nimemaliza kila kitu. kilichobaki ni yeye kufuata amri zangu tuu, si hivyoo matokeo yake ndo haya sasa hausiboi anakula mzigo. Wengine wanajifanya wako bize mno, wengine hawampi nafasi mwanamke ya kuongelea jinsi ya kumegana, akifanya hivyo huulizwa wapi kajifunza, wengine hata style ni moja tuu hiyo hiyo maishani, na kiwanja ni hicho hicho tuu, hakuna kubadili ili mradi mama anapata kila kitu basi ataridhika tuu, si hivyooo jamani, kila mwanadamu anakuwa ana ndoto zake, na nyingine huwa za ajabu sana lkn ukizipatia tuu umemaliza kila kitu. Mimi KWA MFANO, Kabla sijao nilikuwa sina kawaida ya kumsifia demu wakati nammega, lkn siku tuliyofunga harusi tukiwa Honeymoon wakati natafuna tunda nilimsifia wife wangu kwa mbwe mbwe nyingi sana taratibu sikioni, kwa kweli alipagawa vibaya mnoooooo alilalamika kwa mahaba alinishika kwa nguvu, hata mshindo alioupata ulikuwa wa NGUVU. Haraka nikawa mimetambua kitu ikawa saa ndo mtindo wangu nasifia si mchezo. Naona family nyingi tu baba na mama hawana ule ukaribu waliokuwa nao wakati wa uchumba.
  Mwanaume mara nyingi tunatumia sana ukali, command na sometimes mke anakuwa hasifiwi tena utasikia huyu mwanamke bwana! au wanawake bwana!! vile vile kutoka pamoja nako vile vile kunasaidia.

  My Take
  Huyo mama sijajua undani wake wala maisha anavyoishi na mmewe, lkn nadhani mmewe hampi ukarimu unaopaswa, mmewe hamjali nadhani anakosa thamani mbele ya mmewe au, mmewe anashindwa kumtimizia NDOA kwa ufasaha, vile vile ugomvi waweza sababisha haya mambo, huwezi jua vile vile mume yaweza ana nyumba ndogo kwa hiyo mama na yeye anatafuta faraja somewhere. LKN haya yote yasiwe sababu ya kutoka nje ya ndoa. Wana NDOA kaeni chini muongelee haya mambo. Mfanye mwenzio awe rafiki yako na si mtumwa wakoooooo!!!!
   
 19. Kobe

  Kobe JF-Expert Member

  #19
  May 17, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 1,756
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  hao nao wamo, usiwateteee tu hujui pengine maksudi tu wanakomeshana.
   
 20. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #20
  May 17, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  WHEN U STEAL.........STILL IT BIG!!!!!!!! jenga heshima mwanamumeeeeeeeeee.....!!!!
   
Loading...