House boy wetu na Maza house wa jirani

Napata picha ya jogoo akimdandia tetea hapo kwenye blue... hii ni kiboko kwenye geti kama kuku ama mbuzi inamana huyo house aliondoka kwao yuko tayari mjomba ana kiu au maana sipati picha kwa kweli kufika kwenye gate na kudandia bila ya kuwa na steem yeyote ile... kweli duniani kuna mambo[/QUOTE]

Mkuu hapo pa red!! Jua hawa housebou/girls wanakuwa hawana uhuru sana wa masuala ya mapenzi hivyo wakipata mwanya wanautumia vilivyo na si mpaka apate stimu. Halafu pia jua kwa kuwa hawana uhakika wa masuala hayo huwa wao wanakuwa tayari muda wote hawahitaji kushtuliwa!!! Kumbuka hata wewe kama umesafiri au mwenzio amesafiri say mwezi na kama ulibaki mwaminifu akirudi tu siku hiyo hakuna hata cha michezo midogo midogo, kitendo cha kwenda kumpokea airport/stendi hapo hapo unatamani umalizie pale pale, na ukifika nyumbani kama kuna watoto unatamani uwaambie waende kwa jirani kucheza!!! Nani hapa anabisha????!!! Kwa huyo house boy na imagine mashine ilikuwa tayari nduki ilihitaji tu kumaliza kazi!!!Tatizo ni kwa huyo mama ambaye haheshimu mume wake!!! Kweli ndoa za siku hizi ni balaaaaa!! Botton line, huna budi kuwaruhusu wafanyakazi wako wa ndani angalao wawe wanatoka weekend, hata kama si kila weeked but angalao weekend mbili kwa mwezi wakamalize mambo hayo huko vinginevyo wataishia kuwa seduce watoto wako na mwishowe kutembea nao, au mkeo au ndugu yako au wafanyakazi kwa wafanyakazi au kubaka kabisa mabinti wa kazi wa jirani!!! Miaka hii ni tofauti sana na miaka ya nyuma, vijana wengi wanafahamu mapenzi vilivyo na wanaona ni stahili yao. Twende na wakati!!!

Ulirudishwa nyumbani na Mungu.Ili uone na kukemea.Haikuwa ajali.Kemea hiyo kitu haraka.Kabla damu haijamwagika na kudaiwa.
 
Masaki, mimi nadhani kuna tatizo KUBWA zaidi ya hili la ''kutofikishwa kileleni na wanaume waoi''

Sasa kama huyo House Boy alitaka kummega huyo mama fasta fasta, pale nje, unadhani kweli huo muda ungetosha kufikishana kileleni?? -ukichukulia woga wa kubambwa, no time ya kupeana romance etc!

ndiyo, kutofikishwa kileleni, ndo siku zote imekuwa sababu yenu ya kwenda nje kufanya ufuska...hiyo si sababu, pamoja na kwamba miwanawake mingi siku hizi, inakuwa imekubuhu kwa ngono, ilishachakazwa chakachaka, ukiwaona kwa sura utafikiri wazuri, ungejua kilichoko ndani hasara tupu...katembea na wanaume zaidi ya mia, wote kawaweka akilini, akija kuamua kutulia kuwa na mmoja anakumbuka zile mia tofauti za zamani...analinganisha na kuona bora akajaribu nje. uchafu tuu huo...napenda kuwapongeza mabinti na wamama ambao walijitunza enzi za ujana wao,,,,kwasababu siku zote lawama zinakuwa kwa wanaume atu hawawaridhishi wake zao, kumbe wake zao haohao walishapong'oonyolewa kwishnei hata kabla hawajaolewa, mbuzi kwenye gunia hiyo...omba Mungu upate mwanamke aliyekuwa ametulia, utaepuka mengi.
 
Kwani shida hapa ni mama kutembea na house boy?Kwani house boy na yeye si mwanaume kama wanaume wengine?au cheo chake ndio kinachomfanya asile akipendacho?Sioni tatizo zaidi ya kuwa hilo tunda analokula kuna anayelitunza kwa gharama zake. FS.
Alaa, kumbe unajua kosa analolifanya!! Hilo si tunda tu linalotunzwa na mtu (kwani hata hawara hutunzwa); huyu ni MKE wa mtu! Kwa nini atembee na mke wa mtu? Je, mwenye mke akija kumuwinda na kumkamata si anaweza kupoteza uhai wa kijana? Wewe mama mwenye houseboy umkanye kijana aache kutembea na mke wa mtu.
 
ndiyo, kutofikishwa kileleni, ndo siku zote imekuwa sababu yenu ya kwenda nje kufanya ufuska...hiyo si sababu, pamoja na kwamba miwanawake mingi siku hizi, inakuwa imekubuhu kwa ngono, ilishachakazwa chakachaka, ukiwaona kwa sura utafikiri wazuri, ungejua kilichoko ndani hasara tupu...katembea na wanaume zaidi ya mia, wote kawaweka akilini, akija kuamua kutulia kuwa na mmoja anakumbuka zile mia tofauti za zamani...analinganisha na kuona bora akajaribu nje. uchafu tuu huo...napenda kuwapongeza mabinti na wamama ambao walijitunza enzi za ujana wao,,,,kwasababu siku zote lawama zinakuwa kwa wanaume atu hawawaridhishi wake zao, kumbe wake zao haohao walishapong'oonyolewa kwishnei hata kabla hawajaolewa, mbuzi kwenye gunia hiyo...omba Mungu upate mwanamke aliyekuwa ametulia, utaepuka mengi.
Lugha yako ni kali mno; taratibu mzee. Duh! Umeniacha hoi
 
kama wewe ulishuhudia, basi ulikuwa shuhuda wa maovu, kwa nini? lengo ni kwamba
tenzi ilikufanya uyaone ambayo yalijificha ili kuyakemea tena kwa kumshuhudia kabisa
huyo house nyumba wenu, unajua unapomkanya mtu tena kwa kkumwambia kuwa unajua
kabisa tabia hii mbaya alonayo ni jambo zuri sana kuliko kuhisi tu, sasa kuwa jasiri kwa kukemea
maovu, ambayo hakikisha kuwa wewe siyo victimes kwayo,
 
Pepo la ngono litawamaliza...Huyo H/boy atakufa kwa staili hiyo aidha kwa Ngoma au aje kuigwa panga na mwenye mzigo wake..

Yaani nai feel mamsapu anavyoshuhulikiwa na Bwana ng'ombe wetu ambaye anaukame wa muda mrefu na penzi anapata la wizi...anamkunjaje huyu mai wifu...ni vile navyomkunjaga mie au ndo ile staili ya kumuua Kitimoto mkorofi??. Najiuliza hivi mai waifu anamwambiaje huyu H/Boi ...ana mpenda (Darl, Dia, Honey, Ma Lov, Swetii au??).

Nachungulia jinsi gani maiwifu anavyojituma kwa kijana wetu huyu...kumpa hata ile chakula ambayo mimi nakula, kumwonyesha ile eneo ambalo mimi na daktari wake wa mambo ya uzazi tu ndo tungeruhusiwa kuiona....

Najiuiza anavyomkarimu kwa kummegea mshahara zaidi ya ule ambao mimi naufahamu, kumpa hata zile "kufuli zangu" ambazo alisema azimetupa kwa kuwa zilikua kuukuu...na hazinifai..

Nafikiria mai wifu anavyotoa kilio chake..ni kile kile anacholalama akiwa na mi au anabadilisha??...

Enyi wake watiini waume zenu ....Enyi wanaume wapendeni wake zenu kama kristu alivyolipenda Kanisa!!
 
Mkuu Ngoshwe(soma red), mimi kama ndio mwenye mzigo,kuepuka kuuwa watu wengi ni bora panga nikaupiga mzigo wangu,maana kama kuuwa utauwa wengi,ili mradi hatosheki kwa kile umpacho na ma house boy wako wengi na wanazitaka sana hizo,bora uwa mzigo wako na itakuwa mara moja tu!
 
siku hizi wamama wengi wana matatizohayo. huwezi amini, mimi mwenyewe nimetongozwa mara nyingi sana na wamama watu wazima, bahati mbaya, kumbe nilishaokoka, wakaishia kulamba vumbi tu.
Ubungoubungo,duuuu hebu niambie wanasemaje au wanaanzaje? nijue usije ukakuta ndio yanayotupa. Na je ni siku hizi au tangu zamani?Uliwakanya kuwa wasirudie au ulikimbia tu.
 
House Boy wenu kachoka kuishi sasa hivi mtafunga turubai, msiba unanukia hapo kwako! Mwambie aache kabisa mchezo mchafu huo!
 
Ubungoubungo,duuuu hebu niambie wanasemaje au wanaanzaje? nijue usije ukakuta ndio yanayotupa. Na je ni siku hizi au tangu zamani?Uliwakanya kuwa wasirudie au ulikimbia tu.

hahaha, zinaanza ofa za ajabu, mara ukimwamkia shikamoo haitikii halafu anakulembulia macho huku akikuita mwanangu, anajifanya anapendelea kile upendacho, kama haunywi pombe anajifanya na yeye anataka kujifunza kwako, kama mnafanya naye kazi, ofa, safari, favor kibao...akikuona umesimama na mdada yeyote hata kama mnafanya naye kazi, atawarukia na kuwaambia hamfanyi kazi (kama bosi wako), itafika kipindi mkiwa wawili tu ofisini, anakuja kukuambia tu kuwa anapenda kuwa karibu na wewe deshidechideshiiiii, mara umeumbika you are handsome, story zinabadilike zinakuwa za ngono tu akiwa anaongea na wewe, anapenda kukumiliki, unamwona usoni anakutaka laivu, hajiheshimu akiwa mbele yako kwa vile anavokaa, kwa vile anavyo kusalimia, kukushika au kukukumbatia (hug), anakwambia tu kuwa anakupenda lakini samahani usimwelewe vibaya....

dawa hapo, ni nduki, kama alivyofanya Yusufu, unamwachia na shati hapohapo...hhahaha.
 
Ngoswe nakifeel kilio chako! Tuzidi kuombeana turudi kwenye kumwogopa Mungu!

Mkuu Ngoshwe(soma red), mimi kama ndio mwenye mzigo,kuepuka kuuwa watu wengi ni bora panga nikaupiga mzigo wangu,maana kama kuuwa utauwa wengi,ili mradi hatosheki kwa kile umpacho na ma house boy wako wengi na wanazitaka sana hizo,bora uwa mzigo wako na itakuwa mara moja tu!

Wazee wangu, yaaani hii habari ya mkeo/mume kumegwa/kumega nje inatisha ...na kama mungu angekuwa na ufunuo wa wale waaminifu kujua wanayotendewa, nadhani vilio vingekuwa vingi sana duniani.

Kuna watu wanashuhuli kubwa, kama unapata ufunuo wa kuchungulia pale mamsapu wako anaposhuhulikiwa na jamaa, vile anavyokunjwa na kukunjuliwa kama mwavuli na jinsi jasho linavyomtiririka kama theluji juu ya kilima, waweza ukamwonea huruma kabisa ukapiga ukelele "mimi huwa simfanyi hivyo bwanaaaaa!". Ndi yule mamsapu wako ambaye akiwa nyumbani ni mstaarabu hawa, anataka mfanye kwa ustaarabu na ndio huyo pia anaekaa na kuwaelekeza watoto wenu wasifanye mambo ya zinaaa watakufa...
 
Ndi yule mamsapu wako ambaye akiwa nyumbani ni mstaarabu hawa, anataka mfanye kwa ustaarabu na ndio huyo pia anaekaa na kuwaelekeza watoto wenu wasifanye mambo ya zinaaa watakufa...

Ni habari inayosikitisha lakini ni pia ni habari inayotufunza pia; tuishi na wake zetu kwa hekima! Sawa mama jirani kakosea sana tena ; Lakini waweza kukuta tatizo linaanzia kwa Baba Jirani pia! ila kwa wanawake ; Si vyema ikiwa Mumeo kaukosea ukamlipa kisasi nawe kwa kukosea kwa makusudi kama hivi!
 
Yaani siku zote ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni jumapili nilikuwa naenda kanisani ghafla nikakumbuka nimesahau Tenzi na biblia nikajishauri bora nirudi hata nikichelewa nitaingia ibada ya pili wakati narudi haraka ili niwahi karibu kabisa na nyumbani nikamuona house boy wetu anaingia nyumba ya jirani nikajiuliza kulikoni hasa kwa style aliyokuwa anaingilia ya kunyata na kuangalia huku na kule nikadhani labda anaenda kuiba nikasema kimoymoyo "leo ndo mwisho wake" nikasimama nikajibanza sehemu ili asinione akaingia nyumba ya jirani na mimi nikawa namfuata taratibuuu nilipofika getini nikasikia maongezi yakunong'ona nikasimama ili nichungulie Mungu wangu kumbe mama mwenye nyumba ile na house boy wetu, sasa yule house boy ana mwambia hapa hapa yule mama anamwambia twende ndani mara akampandisha nguo Duh! me nikabaki nimetoa macho yule mama anafurahia he! nikaondoka haraka kwa ibu na woga sasa najiuliza je huyo baba wa jirani akija kujua atatuelewa? si ndo tutaanza uhasama wa ujirani? mbaya zaidi huyu House boy tuna undugu fulani je nikae kimya je ikitokea siku akamleta kwangu waka kutwa? hii imekaaje wana JF?

Hii imekaa powa tu. Fuatilia misala yako ndugu, hayo ya ngoswe waachie wenye meno watafune. otherwise utuambie u r thinking of 3some..lol
 
Kuna wamama hawana maana, hata mimi kuna mama mmoja alikuwa jirani yangu nilikuja kugundua alikuwa anatembea na houseboy wangu! Duh! Au wanaume hawawafikishi wake zao kileleni, halafu ma houseboy wanajituma sana? !

Mzee baada ya hapo uliamuaje ulimfungashia aondoke au?
 
Huo unaitwa umbeya ...lol uchachungulia watakumwagiwa uji wa moto siku moja bahati yako haukai uswahilini.
Mwache mama wa watu ajivinjari, unajua shuruba anazo zipata kw amumewe, labd ahampenzi na ana jamiiana naye kial siku kwa maumivu, mwache ajiriwaze na Kijana maana anampa raha na kumfanay mama asiwe na hasira awe ana smile muda wote sababu stress zinakau hazipo, hivyo hudumisha ndoa maana hata mumewe akirudi kazinia napokewa kw afuraha huku mama akiw akaisha shiba mahaba moto mtoto ya asubuhi anayo pewa na houseboy vichochoroni.
 
Kutofikishwa kileleni sio tiketi ya kumegwa nje. Hy ni tabia mbaya ya kuzaliwa nayo.. Waeleze wote wajue wanachokifanya sio kizuri na hakifai!
 
hahaha, zinaanza ofa za ajabu, mara ukimwamkia shikamoo haitikii halafu anakulembulia macho huku akikuita mwanangu, anajifanya anapendelea kile upendacho, kama haunywi pombe anajifanya na yeye anataka kujifunza kwako, kama mnafanya naye kazi, ofa, safari, favor kibao...akikuona umesimama na mdada yeyote hata kama mnafanya naye kazi, atawarukia na kuwaambia hamfanyi kazi (kama bosi wako), itafika kipindi mkiwa wawili tu ofisini, anakuja kukuambia tu kuwa anapenda kuwa karibu na wewe deshidechideshiiiii, mara umeumbika you are handsome, story zinabadilike zinakuwa za ngono tu akiwa anaongea na wewe, anapenda kukumiliki, unamwona usoni anakutaka laivu, hajiheshimu akiwa mbele yako kwa vile anavokaa, kwa vile anavyo kusalimia, kukushika au kukukumbatia (hug), anakwambia tu kuwa anakupenda lakini samahani usimwelewe vibaya....

dawa hapo, ni nduki, kama alivyofanya Yusufu, unamwachia na shati hapohapo...hhahaha.

Ubungoubungo kama una nguvu za kuyaepuka yote yaliyo in red,wewe ufalme wa mbingu unanukia, msema ukweli mpenzi wa mungu, mm hapo hilo jini mahhhhh..... lilikuwa limenipata-ahaaaaaaaaaaaaaaaaaha.
 
Huo unaitwa umbeya ...lol uchachungulia watakumwagiwa uji wa moto siku moja bahati yako haukai uswahilini.
Mwache mama wa watu ajivinjari, unajua shuruba anazo zipata kw amumewe, labd ahampenzi na ana jamiiana naye kial siku kwa maumivu, mwache ajiriwaze na Kijana maana anampa raha na kumfanay mama asiwe na hasira awe ana smile muda wote sababu stress zinakau hazipo, hivyo hudumisha ndoa maana hata mumewe akirudi kazinia napokewa kw afuraha huku mama akiw akaisha shiba mahaba moto mtoto ya asubuhi anayo pewa na houseboy vichochoroni.

Ama!!!
 
Back
Top Bottom