rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,420
- Watanzani wenzangu nimerudi jioni hii nyumbani nikakuta watu wanaangalia hotuba ya Rais wetu live kutoka Simiyu,kwa kweli kuangalia nikawaomba waondoe haraka sana,jamani nimechoka sana kumsikiliza Rais wetu,sijui nini kifanyike lakini natamani hata nisisikie sauti take kabisa,naona kama Hanna jimpya Lita Loki's hawkish I nipoteze muda na kukaa kuangalia,sijui wenzangu ila mimi hapana na sitaangLia tena,nini kifanyike? Tunaomba washauri wa Rais fanyeni kitu ile tuwe na hamu na sauti y Rais wetu,wataalam watafutwe wamshauri Rais jinsi ya kutufany tummisi,mimi ni raia mwema naeleza ya moyoni mwangu