Date::11/1/2008
Rais amefanya kosa lile lile alilolifanya alipohutubia Bunge kwa sababu tunataka kufahamu ni akina nani hawa waliorudisha fedha hiyo ni moja lakini pili hizi Bilioni 69 zilizorudishwa ni fedha taslimu au zinajumuisha mali wanazodai wamezitaifisha,alihoji Dk.Slaa.
Mnataka muambiwe mara ngapi??? pesa zilitumika kumweka kikwete madarakani, mnataka ajitaje mwenyewe
Katika ripoti ya kamati ya Richmond kulikuwa na mapendekezo kwamba Edward Hosea wa TAKUKURU na Mwanasheria Mkuu Mwanyika waondolewe katika nafasi hizo, lakini hadi hii leo Kikwete hajafanya lolote kuhusiana na ushauri huo. Sasa tusitegemee kipya kwa watu ambao wameshaonyesha kuwa na uwezo finyu wa kusimamia majukumu yao. Pamoja na malalamiko mengi toka kwa Watanzania wataendeleza usanii maana mkuu aliyewapa kazi ama anaogopa kuwaondoa madarakani au hana uwezo wa kufanya hivyo kwa sababu anazozijua yeye.
Sheria ya msamaha maalum wa Rais a.k.a Amnesty...
Nimesoma speech ya Raisi wenu, honest this guy is a JOCK! Kwanza alichoelezea kuhusu Financial Crisis ni full of balloon. Kuhusu EPA gosh, i couldn't handle kusoma mpaka mwisho. I knew kuanzia mwanzo the speech will be disappointment.
Hebu niulize ni lini huyu Rais aliongea something which make sense to majority of Tanzania? Hata common sense hana?
Sadly enough, anajifanya anaongea kama anajua anachoongea......
Where is January Makamba? He used to come kwenye forums hizi na kudefend His president. ....
People cant afford two meal a day, wewe unaleta argument the OIC, what a non sense? When will he get it?
-Alipowahutibia kwenye kampeni mkasema ni chaguo la Mungu!
-Alipohutubia Bunge Disemba 2005 mkasema kweli Rais tunaye!
-Alipowahutubia Ngurdoto mkasema hakika ni Tumaini Lililorejea!
Si Pro Costa Mahalu pekee, na ndugu zetu walioko jela nao tupewe nafasi ya kurudisha pesa walizoiba ili waachiwe.
Kwako JJ Mnyika, K. Zitto, Dr W.Slaa.
Napendekeza muunganishe nguvu, pamoja na kituo cha haki za binaadamu, asasi nyingine za kiraia na vyuo vya elimu ya juu. Then muorganize maandamano makubwa kwa kumobilize wananchi woote wenye ndugu, jamaa au marafiki wanaoozea jela kwa wizi wa aina mbalimbali through thousands of fliers, na matangazo ya kwenye magari kushinikiza na wao wapewe fair treatment ya kurudisha walivyoiba kama mafisadi.
Im quite sure you will mobilise a sizeable mass na kusend the message AGAIN!... JK ni
wa kumkomalia mpaka aelewe kwa kuona matendo. Kumsusia nchi na kuyaacha mambo kama yalivyo tutakua hatuwatendei haki watoto wetu na vizazi vyetu vijavyo.
Ikifanyika Dar, i guarantee to be there....Just give me the date.
Ni wazo tu.
Companero,
It boggles the mind. Wizi umefanyika Tanzania yet data tunasubiri watupatie wenzetu
walioko ughaibuni. It boggles the mind.