Hotuba za Rais kila mwezi

Je unaridhika na hotuba za Rais Kikwete?

  • Ndio

    Votes: 13 15.5%
  • Hapana

    Votes: 71 84.5%
  • SIJUI

    Votes: 0 0.0%
  • Sina jinsi

    Votes: 1 1.2%

  • Total voters
    84
  • Poll closed .
SEHEMU ya kwanza ya HOTUBA ya RAIS:


INAENDELEA.......................................................
 
EPA hiyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo hakuna lolote la maana .EPA chapter closed .
 
SEHEMU ya PILI na ya MWISHO....... Kazi kwenu TUSUBIRI HAO WAHALIFU WATAFANYWAJE

 
Amenawa mikono, malimbikizo sio ya awamu yake ila ameshalipa bilioni 7 na zilizobaki zote atalipa,
Sasa yuko kwenye suala la mtikisiko wa kiuchumi. Tanzania ijiandae kwa lolote,

Sasa anazungumzia maalbino.

Jipu la EPA amelitumbua na kumwachia DPP alikamue!. Uchunguzi unaendelea.... Kweli hakuna jipya!

Hotuba inamalika amewakwepa wastaafu wa EAC.

End,
 
Kwikwikwi JK ama kweli leo ameonyesha kwa nini ni msanii wa kuaminika Nchini Tanzania na kwa wananchi
 
KILA la kheir...............................nawatakia mjadala mwema
 


Ina maana hawana deadline ya huo mchakato wanaofanya kuhusu OIC?.....This is very strange statement from the President. It shows like he doesn't have authority and commading power.
 

Duh! Rais Kikwete, baaaaaaaabu kubwa kuliko wote waliowahi, I mean this is incredible!
 
1. Da Rais hajui lini Wizara itamaliza kushughulikia suala la OIC!
2. Do Rais hajui lini uchunguzi wa makampuni 9 ya EPA utaisha!
3. Du Rais hajui nini tamko la Serikali kuhusu wastaafu wa EAC!


Mungu Ibariki Afrika
Wabariki Viongozi wake
Hekima,..., ni ngao zetu
 
Mkuu halisi kula tano, well huyu mkulu hana maana na is totally b...shyt! Sielewi kwa nini amepoteza muda wake kutuhutubia. HAKIKA NCHI IMEUZWA.................
 

Only in Tanzania! .... Inasikitisha sana!
 
..bora angejikalia kimya tu.

..hakukuwa na ulazima wa kutoa hotuba "tupu" kama hiyo.
 
Well ngoja turudi kwa inspirator wetu BHO, hivi kuna linaloweza kujafanyika succesfully for all Tanznians in TZ
 
kikwete mwizi, jambazi na unawalinda wahindi majambazi wenzako... Utakiona cha mtema kuni 2010... Hutarudi ikulu. Tutakuondoa kwa njia ya kura. Halafu yatafunguliwa mashitaka juu yako ili ufungwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…