Hotuba za Rais kila mwezi

Je unaridhika na hotuba za Rais Kikwete?

  • Ndio

    Votes: 13 15.5%
  • Hapana

    Votes: 71 84.5%
  • SIJUI

    Votes: 0 0.0%
  • Sina jinsi

    Votes: 1 1.2%

  • Total voters
    84
  • Poll closed .

heheee mwenye macho haambiwi tule! Mkuu Pundit upo sahihi.
 
....wazee au macho yangu mbona nipo hooked kwenye tv stations zote na remote ya hitachi yangu ya nchi 14....sioni kitu...hadi nagombana na mwanangu ambaye nimempa kazi anaendelea kuzungusha antenna yetu ya tube light kwa kufikiri ananihujumu au naye ameamua kugoma...maana kuna baadhi ya mambo yake sujamtimizia ..yeye na wadogo zake basi taabu tu...

jamani niambieni hotuba ipo au ni tv yangu .....nisijegombana na watoto bure...naona tbc wao wanaonesha programme ya US elections na wala hawatoi caption yoyote...!
 
Msiniambie kuna watu wanaendelea kutegemea huyu ndugu afanye mambo! Sasa hapo kilaza ni nani-yeye au sisi?
 
Mbona unawaweka wenzio roho chini, wenye kukata tamaa watashindwa kuisoma as wameshapata general preview. Kama unayo iweke waione kila mmoja achambue kwa mtazamo wake.

Kwa ufupi!!!! Kabla ya yote!!!! Lakini tusubiri muda si mrefu atazungumza, tuko hapa tunasubiri mafundi mitambo wanahangaika. Wasije kujua kwamba nawamegea kabla ya wakati.

Msiniambie kuna watu wanaendelea kutegemea huyu ndugu afanye mambo! Sasa hapo kilaza ni nani-yeye au sisi?

meaning wote kama ulimaanisha sisi hapa JF au sisi wapiga kura wake. If the later is true then 1 + j = j - i
 
heheee mwenye macho haambiwi tule! Mkuu Pundit upo sahihi.
Nziku, sehemu nyingine hata ukiwa na macho huli; "Firm-on-Issues" kijasho cha meno kinamtoka, sasa hivi kiti kimekuwa cha moto -- wanawasiliana na TCRA ili 'frequencies' zote zipotee!
 
Msiniambie kuna watu wanaendelea kutegemea huyu ndugu afanye mambo! Sasa hapo kilaza ni nani-yeye au sisi?
...ndiyo, ni sisi wananchi tuliomchagua. Akishindwa kwa kura kwenye uchaguzi ujao tutakuwa tumeondolewa huo ukilaza, walau kwa asilimia kadhaa!!
 
Kwa ufupi!!!! Kabla ya yote!!!! Lakini tusubiri muda si mrefu atazungumza, tuko hapa tunasubiri mafundi mitambo wanahangaika. Wasije kujua kwamba nawamegea kabla ya wakati.

haya weee, labda sentensi inayofuata ndio ninayoitegemea....
 
Kwa ufupi!!!! Kabla ya yote!!!! Lakini tusubiri muda si mrefu atazungumza, tuko hapa tunasubiri mafundi mitambo wanahangaika. Wasije kujua kwamba nawamegea kabla ya wakati.

..leo yamekuwa hayo ..hadi mafundi mitambo ..tutegemee wounders basi!!!..kwani utaratibu wa kusoma hotuba baada ya taarifa ya habari ya saa mbili ili watoto nao wasikie ..umeisha..wanataka kutuwekea hotuba saa nne usiku ...au ndio ameshauriwa hivo na "kamati yake ya ufundi"?
 
There is something wrong somewhere mpaka sasa hukuna hotuba in tv!. Kwa kawaida huonyeshwa mara baada ya taarifa ya habari. Tbc wamekata special prog ya US election nikajua ndio hotuba kumbe nothing.ITV hotuba saa 22.30
 
Jamani haya ndio tuliyotarajia. Waliolipa fedha walizoiba hawana hatia. Wasiolipa watakiona cha mtemakuni
 
Jamani haya ndio tuliyotarajia. Waliolipa fedha walizoiba hawana hatia. Wasiolipa watakiona cha mtemakuni

sababu za kusamehewa ndo muhimu, naomba mawakili wafanye kazi yao na kufungua kesi kwa niaba ya wananchi pia bunge lihoji mamlaka ya Rais ikiwezekana impeachment hii ndo suluhu.
 
Jamani haya ndio tuliyotarajia. Waliolipa fedha walizoiba hawana hatia. Wasiolipa watakiona cha mtemakuni

Nimesema sana kuhusu kondoo wa kafara. Waliofanya clean deal had no money to return, waliofisidi ndio waorudisha now they are clean!.
 
Nendeni mkalale tu, nimepata nafasi ya kuangalia hotuba, kiufupi mmefungwa magoli mawili bila... ka nzi kaliko Ikulu kamepenyeza hotuba yenyewe na si utani anayetaka kulala aende kulala tu.. hakuna jipya.

Kuhusu EPA uchunguzi bado unaendelea... (kuna uwezekano hili likaenda hadi 2010)..
 
january kijana umetoka huku bila uzoefu wowote na kukimbilia Ikulu. Mimi ningekushauri na ninasema hivi kwasababu nina umri mmoja kama wewe tafuta kazi ya kawaida kwa miaka michache kwani ni muhimu kufanya kazi kwenye private hasa nje kwa muda. Njoo hapa USA na fanyakazi kimbizana na manager kidogo halafu rudi nyumbani na ari. Acahana na wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…