Nawapa pole kwa msiba uliowapata wa kumpoteza mwenzao mmoja aliyezama majini pale Kisiwani Mwali siku moja kabla ya majeshi yetu kuondoka kuelekea Nzuani. Ajali haina kinga..
Jamaa anasema hata kuweka sahihi it took him ages hadi Bush akawa amekaa anangoja amalize kuweka sahihi .
Hivi hii ni hotuba kwa wana CCM au kwa wananchi? Kwanini kwenye mtiririko huo hapo juu kama kweli hii ni hotuba kwa wananchi na sio kwa wana CCM neno "Ndugu Wananchi" lisitangulizwe juu? Hivi ni lazima aitaje CCM kwenye hizi hotuba? Na mwishoni anamalizia na kidumu Chama cha Mapinduzi!
Maelezo ya wanajeshi kupelekwa Comoro yangepaswa kutolewa kwa wananchi kabla hata hiyo oporesheni ya demokrasia iliyotumia mtutu haijaanza na sio mwishoni.
Hii statement ya AJALI HAINA KINGA haitofautiani sana na ile aliyoitoa kule Mererani juzi, ninaweza kumuelewa mtu yoyote akisema hivi mitaani but for Gods sake- Not a president!
Madereva kibao hadi leo hii wanaendesha magari bila leseni, hawajui hata sheria ndogondogo za barabarani.
Mkamap,Mhe. Jk hana Ubavu wa kumng'oa Rais wa Zanzibara ambaye ni kiongozi wa zanzibar.Mie Naomba kuuliza .
Hivi RAIS wa jamhuri ya muungano wa tz anamamlaka ya kumfukuza kazi Rais wa ZAnzibar???
mfano kama JK kakubaliana na CUF kuunda serikali ya mseto kule zenji harafu Karume akaimtolea nje JK na akamwambia kama wewe unataka serikali ya mseto basi waingize CUF ktk serikali yako ya DAR.
Je? JK anaubavu kikatiba kumun'goa Karume ama itakuaje
1)atachaguliwa na wananchi katika Tanzania Zanzibar kwa mujibu wa masharti ya Katiba ya Zanzibar, na kwa kufuata utaratibuuliowekwa kwa mujibu wa Sheria iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi la Zanizibar inayohusu uchaguzi kwa ujumla au uchaguzi wa Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
(2) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, kiti cha Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kitakuwa ki wazi,
na uchaguzi wa Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar utafanyika ili kujaza nafasi hiyo kila mara litokeapo lolote kati yamambo yafuatayo.
(a) baada ya Baraza la Wawakilishi kuvunjwa;
(b) baada ya Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kujiuzulu bila ya kulivunjwa Baraza la Wawakilishi kwanza;
(c) baada ya kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupoteza sifa za kushika nafasi ya madaraka ya kuchaguliwa;
(d) baada ya Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kushtakiwa katika Baraza la Wawakilishi kwamujibu wa Katiba ya Zanzibar 1984 na kuondolewa katika madaraka.
(e) baada ya kuthibitishwa kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar 1984 kwamba Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar hawezi kumudu kazi na shughuli zake;
(f) baada ya Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi yaZanzibar kufariki.
Mkamap,Mhe. Jk hana Ubavu wa kumng'oa Rais wa Zanzibara ambaye ni kiongozi wa zanzibar.
tuangalie ibara ya 104 ya katika ya Jamhuri ya Muungano.
[/LEFT]
[/FONT]
Gembe,
Anaweza kumng'oa inderectly kupitia CCM, kitu ambacho kwasasa hawawezi kufanya.
Huko nyuma walishamng'oa Jumbe lakini ilikuwa kupitia vikao vya chama.
Akijifanya mjanja, wanaweza kuvua uanachama wa CCM na hapo atakuwa amepoteza hata urais wa zanzibar.

Gembe,hili linawezekana kama kuvuliwa uanachama,ila kumvua uanachama Rais wa CCM ni sawa na kukivua nguo chama cha Mapinduzi.
Karume hana kiburi cah kuwaachia CUF ili kwa pamoja waunde serikali ya Mseto ila wale wafahidhina ndio balaa.Yeye anamalizia muda wake tu wa kutawala.Mie nadhani ile sera ya Chadema ya Majimbo ingekuwa dawa ya tatizo hili.Pemba ingekuwa jimbo na Unguja ingekuwa poa sana..CUf wanajinyakulia Jimbo lao na CCM hivyo hivyo.na tunakuwa na Rais Mmoja Tanzania nzima..<Je itawezekana??>.
Haya Mawazo ya watu kama Mpita njia ndio yaliyomo katika mioyo ya watu wafahidhina wasiotaka muungano wa Serikali kati ya CCM na CUF.JK ameshandwa kwasabu hana ubavu wa kuingilia hili na anjua madhara yake ni yapi.majimbo? thubutu
Haya Mawazo ya watu kama Mpita njia ndio yaliyomo katika mioyo ya watu wafahidhina wasiotaka muungano wa Serikali kati ya CCM na CUF.JK ameshandwa kwasabu hana ubavu wa kuingilia hili na anjua madhara yake ni yapi.
Mhe. Zitto naomba uiweke sera ya Majimbo hapa tuijadili!!hii ikiboreshwa nadahni itakuwa ndio suluhu ya Migongano hii
Mie Naomba kuuliza .
Hivi RAIS wa jamhuri ya muungano wa tz anamamlaka ya kumfukuza kazi Rais wa ZAnzibar???
mfano kama JK kakubaliana na CUF kuunda serikali ya mseto kule zenji harafu Karume akaimtolea nje JK na akamwambia kama wewe unataka serikali ya mseto basi waingize CUF ktk serikali yako ya DAR.
Je? JK anaubavu kikatiba kumun'goa Karume ama itakuaje
Gembe,
Anaweza kumng'oa inderectly kupitia CCM, kitu ambacho kwasasa hawawezi kufanya.
Huko nyuma walishamng'oa Jumbe lakini ilikuwa kupitia vikao vya chama.
Akijifanya mjanja, wanaweza kuvua uanachama wa CCM na hapo atakuwa amepoteza hata urais wa zanzibar.
Kana Kasungu ulitaka asemeje??
Ni Msemo wakiswahili na una maana,tuache kujenga hoja zisizo za msingi!!