Hotuba za leo misikitini kuhusu Palestina

Hotuba za leo misikitini kuhusu Palestina

Mmejazwa ujinga na umewajaa, hawajachokoza, sema walipopata fursa wakaitumia.

Wapalestina ni mashujaa haswa.
Sio wa Palestina, ni Hamas ka genge ka wahuni wanasababisha vilio na kusaga meno kwa wa Palestina wasio na hatia.
 
Nasi ngozi nyeusi ni kupokea tu klla kitu kama Mzuzu.

Kuna nchi za Afrika wenzetu zina vita na wala hatuna habari nazo, kuna Watu wngi tu wanauwawa kila kukicha kulr Congo ni lini Misikitini au Makinisani kwetu tunakumbuka hata kuwaombea?.

Ni lini tuliwasikia Waarabu wanaongelea vita vya Congo uganda au Sudan?.

Ya Ngoswe tumuachie Ngoswe tuhangaike na Waswahili wenzetu.
 
Leo karibu misikiti yote duniani kulikuwa na hotuba ya kuwalaani Mayahudi na kuwaombea dua na kuwapongeza Palestina kwa hatua yao ya kuilinda ardhi yao na kuilinda ardhi tukufu ya waislam.

Wamesema hivi ni vita dhidi ya waislam na uislam
Kuna uwezekano mkubwa Uislamu ukaathirika na Vita sababu ni kusudio la Waisrael kuuvunja msikiti wa Al-Aqsa na kujenga Hekalu lao!

Shida naipata kwa Mkristu kusapoti Wayahudi kufanya jambo ili huku wakiwa wamejisahau kuwa kubariki kitendo hicho ni sawa na kumkana Yesu Kristo! Ndiyo ukirejea "Waebrania 7: 26-28 unaliona ilo.
 
Sio wa Palestina, ni Hamas ka genge ka wahuni wanadababisha vilio na kusaga meno kwa wa Palestina wasio na hatia.
Hapo ndipo mnapodanganywa, na wanapopigwa west bank, kuna Hamas kule? na Wanapopigwa mpana na Lebanon kuna Hamas kule.

Mwanzilishi wa nchi inayoitwa Usrael toka mwaka 1935 kwenye mkutano alishasema watahakikisha habaki Mpalestina.
 
Usiku mwema maam.
 
Waambie hamas waache uchokozi,ukiona inauma sana chomoa.

Hamas uovu unajulikana na unakemewa miaka na miaka. Ila nacho shangaa hapa ni kuona nyinyi wajinga mnao fata mambo kichwa mchunga, mnashindwa kukemea uovu wa Mayahudi na kuwaona hawakosei.

Ukija upande kuhusu Hamas tunawakosoa kila uchwao, lakini haibadilishi ya kuwa Wayahudi hawastahiki kuishi pale, sababu wamevamia sehemu ambayo si yao, hawana unasaba na ukoo wala ukaribu hata wa mbali.
 
Na wayahudi ndio wataishinda hii vita,kuliko waarabu wavamizi kwenye ardhi ya wayahudi.
Huna ushahidi wa Historia Wala wakinasaba unao onyesha ya kuwa Mayahudi pale ni kwao.

Historia hiyo haipo, hata wewe nakupa miaka kumi uje kutoa ushahidi ya kuwa Mayahudi pale ni kwao.
 
[emoji3][emoji3][emoji3],mitume wa wayahudi lini walikua waislamu,acha kupotosha muislamu wa kwanza ni mudi.
Uyahudi ni ukafiri lini ukawa na mitume ? Inaonekana hata Uyahudi huujui.

Kihistoria Uyahudi haujulikani lini ulianza kwa kujulikana tarehe au mwaka, lakini kwa ushahidi usio na shaka ni kuwa mpaka Musa anaondoka hapa duniani, Uyahudi haukuwepo. Sasa hao mitume wa Mayahudi ni kina nani ? Nitajie walau watatu tu.
 
Leo karibu misikiti yote duniani kulikuwa na hotuba ya kuwalaani Mayahudi na kuwaombea dua na kuwapongeza Palestina kwa hatua yao ya kuilinda ardhi yao na kuilinda ardhi tukufu ya waislam.

Wamesema hivi ni vita dhidi ya waislam na uislam
Turkish don’t want Jews in their country. This is what terrorist zionists Israeli none stop #CrimesAgainstHumanity #genocide is doing They are the biggest threat to Jews
while Israelis jump up and dance.and cheer the genocide
Jews cross the world are in danger and hated.
IMG_20231027_223525.jpg
 
Bongo mbona ndugu zetu hawajaandamana, wala sijaona wakitoa tamko kwa serikali ya Samia(islam), itamke na kulaani Israel?, Rwanda nchi yenye Wakristo 99%wamepereka msaada Gaza, Zenj ya kiarab Koko, mpo wapi? Mbona kimya!
Mzee BIDEN ana wa zoom tu!!! Katibu mkuu wa UN, na taasisi yake wamepigwa mkwara na Israel, na wako kimya sembuse hawa omba omba??!
 
Leo karibu misikiti yote duniani kulikuwa na hotuba ya kuwalaani Mayahudi na kuwaombea dua na kuwapongeza Palestina kwa hatua yao ya kuilinda ardhi yao na kuilinda ardhi tukufu ya waislam.

Wamesema hivi ni vita dhidi ya waislam na uislam
We bwana Mohammed kwa nini nyie hua n watu wa kulala mika lala mika tu wanaume wameingia gaza uko mtasakwa nyumba kwa nyumba mpaka kwenye mitaro mliyo jificha kisha mtatangulizwa Akhera mka kutanishwe na mabikra 72
 
Eti wanaume wanaipiga Gaza? NATO na USA pamoja na Israel ndio wanaume? Dah wewe kweli mwehu. Dunia nzima inaipiga Gaza eti wanaume? Silaha nzito zote za mataifa yote zipo hapo eti wanaume? Wanaume hujawaona? Wamewachukua makamando ya Israel kama vitoto vya kuku .
Wanaume wanawasubiri NATO na Isreal waingie kwa miguu wateketee.

Muislam hashindwi na kafiri.
Muislam akimuua kafiri ktk vita vya jihad kama hivi yeye kwake peponi na akiuliwa yeye peponi.
Vita kama hivi ingalipigwa Vatican nadhani mapdri wote wangalikuwa washaomba poo
 
Wala sisi Waislamu hatuna mpango huo, sababu hilo limeshaandikwa kwenye kwenye Zaburi na imenukuliwa kwenye Qur'an, ya kuwa ardhi Ile ya Palestina itarithiwa na wake wema ni muda tu, ndio maana katika ushauri wa mwanzo walio pewa ndugu zetu Wapalestina waondoke pale japokuwa Kiasili pale ni kwao, muda ulio andikwa ukifika hakuna yahudi atakaye salia pale.

Anasema Allah aliye juu :

105. Na hakika tulikwisha andika katika Zaburi baada ya Kumbukumbu, ya kwamba nchi watairithi waja wangu walio wema. (Al-Anbiyaa : 105)

Nchi inayo ongelewa hapo ni Palestina. Sisi hatuna shaka.

Kwahiyo sisi Waislamu hatuna shaka na pale, na pale ni kwetu sote sisi Waislamu sababu mitume na manabii walio pita pale ni Waislamu wote.
Mkuu, nami napenda kujifunza kwenye andiko lako

Kwa nini Quran inatumia wakati ujao huku ikijulikana kwamba, Waparestina ndio wazawa wa hapo?

Kwa nini wanaambiwa tena watakuja kuwa warithi?

Kwa mjibu wa maelezo yako, unasema, Waparestina ndio wazao wa nchi ile, na waisrael ni wavamizi, huoni kwamba andiko la Quran linawasemea hao unaowaita wavamizi?

Embu tafakari kidogo mkuu!

Siyo kwamba anayeambiwa atakuja kuirithi nchi ni mtu mgeni ambaye hakuwa mkaazi wa hapo kabla?
 
Eti wanaume wanaipiga Gaza? NATO na USA pamoja na Israel ndio wanaume? Dah wewe kweli mwehu. Dunia nzima inaipiga Gaza eti wanaume? Silaha nzito zote za mataifa yote zipo hapo eti wanaume? Wanaume hujawaona? Wamewachukua makamando ya Israel kama vitoto vya kuku .
Wanaume wanawasubiri NATO na Isreal waingie kwa miguu wateketee.

Muislam hashindwi na kafiri.
Muislam akimuua kafiri ktk vita vya jihad kama hivi yeye kwake peponi na akiuliwa yeye peponi.
Vita kama hivi ingalipigwa Vatican nadhani mapdri wote wangalikuwa washaomba poo
😂😂😂😂
utakua mgonjwa wa akili wewe sio bure una hitaji msaada
 
Hamas uovu unajulikana na unakemewa miaka na miaka. Ila nacho shangaa hapa ni kuona nyinyi wajinga mnao fata mambo kichwa mchunga, mnashindwa kukemea uovu wa Mayahudi na kuwaona hawakosei.

Ukija upande kuhusu Hamas tunawakosoa kila uchwao, lakini haibadilishi ya kuwa Wayahudi hawastahiki kuishi pale, sababu wamevamia sehemu ambayo si yao, hawana unasaba na ukoo wala ukaribu hata wa mbali.

Historia yote iko wazi kuwa hao wayahudi wamekuwapo hapo siku nyingi,kasome hata kurwani yako inawafahamu wayahudi vzr,leo hii unasemaje hapo ni wavamizi,palestina ndio wavamizi na wataondoshwa wote na hii ndio dhamira kuu ya wayahudi.
IMG_3874.jpg
 
Back
Top Bottom