Hotuba za leo misikitini kuhusu Palestina

Leo karibu misikiti yote duniani kulikuwa na hotuba ya kuwalaani Mayahudi na kuwaombea dua na kuwapongeza Palestina kwa hatua yao ya kuilinda ardhi yao na kuilinda ardhi tukufu ya waislam.

Wamesema hivi ni vita dhidi ya waislam na uislam
Bongo mbona ndugu zetu hawajaandamana, wala sijaona wakitoa tamko kwa serikali ya Samia(islam), itamke na kulaani Israel?, Rwanda nchi yenye Wakristo 99%wamepereka msaada Gaza, Zenj ya kiarab Koko, mpo wapi? Mbona kimya!
 
KiWaislamu kuungana kuipiga Israel Ni ndoto.
Wenyewe wako kwenye mgawanyiko (Sunni vs Shiite)
Wataongea Sana msikitini wakitoka kila mmoja na hamsini zake mpaka ijumaa tenaKi

Kipigo walichokipata waarabu 1967 na 1973 hawajakisahau bado!! Kamwe hawawezi kuthubutu kuishambulia nchi Takatifu na Taifa teule la Israel!! Wapalestina watajihangaikia wenyewe tu!! Ila Mungu anawapenda watu wote, tatizo watu wanataka kuhoji mipango ya Mungu!!
 
He utakatifu wa israel uko wapi
 
Haya madhabau ni ajira za watu; wengi wanatetea ajira (ulaji) zao kwa kuwabebesha wasiojitambua a.k.a waamini; kama imani haikuletei ugali mezani, piga chini.
Wanaoleta hizi chokochoko, wananufaika na hiyo ajira/ ndiyo kula yao inapopatikana; tujiepushe nao.​
 
Hii si vita vya kidini. Ni vita ya watu kudhulumiwa ardhi yao, uhuru yao na nia ya watu kujitawala.

Ni sawa na vita iliyokomboa Africa Kusini kutoka kwa Mkaburu na Namibia.

Waarabu hawana kitu kiumoja. Wote ni wapiga show kwa raha na starehe

Wapalestina wangeomba kumpata mtu kama Mwl. JK Nyerere aliyeweza kuunganisha Africa nzima na kuwezesha uhuru wa nchi za Kusini mwa Africa bila ya kujali chochote kile.

Neno lake kwamba Africa haitakuwa huru mpaka kila mmoja wetu awe huru naikumbuka sana.

RIP Mwl.JKN

Leo karibu misikiti yote duniani kulikuwa na hotuba ya kuwalaani Mayahudi na kuwaombea dua na kuwapongeza Palestina kwa hatua yao ya kuilinda ardhi yao na kuilinda ardhi tukufu ya waislam.

Wamesema hivi ni vita
 
Hii si vita vya kidini. Ni vita ya watu kudhulumiwa ardhi yao, uhuru yao na nia ya watu kujitawala.

Ni sawa na vita iliyokomboa Africa Kusini kutoka kwa Mkaburu na Namibia.

Waarabu hawana kitu kiumoja. Wote ni wapiga show kwa raha na starehe

Wapalestina wangeomba kumpata mtu kama Mwl. JK Nyerere aliyeweza kuunganisha Africa nzima na kuwezesha uhuru wa nchi za Kusini mwa Africa bila ya kujali chochote kile.

Neno lake kwamba Africa haitakuwa huru mpaka kila mmoja wetu awe huru naikumbuka sana.

RIP Mwl.JKN
Vita vya kidini
 
Back
Top Bottom