jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,588
- 43,669
Uyahudi ni ukafiri lini ukawa na mitume ? Inaonekana hata Uyahudi huujui.
Kihistoria Uyahudi haujulikani lini ulianza kwa kujulikana tarehe au mwaka, lakini kwa ushahidi usio na shaka ni kuwa mpaka Musa anaondoka hapa duniani, Uyahudi haukuwepo. Sasa hao mitume wa Mayahudi ni kina nani ? Nitajie walau watatu tu.
Kama unaamini torati ya musa na vitabu ya agano la kale huwezi kuja kubisha hapa,historia yao imeandikwa vyema kabisa kuanzia ibrahimu hadi daudi kila kitu kiko wazi kasome. Hao jamaa sio wajinga wanapigania haki yao na kile wanachamini,toafauti na wapalestina wavamizi wa karne ya 7.