Hotuba za leo misikitini kuhusu Palestina

Hotuba za leo misikitini kuhusu Palestina

Leo karibu misikiti yote duniani kulikuwa na hotuba ya kuwalaani Mayahudi na kuwaombea dua na kuwapongeza Palestina kwa hatua yao ya kuilinda ardhi yao na kuilinda ardhi tukufu ya waislam.

Wamesema hivi ni vita dhidi ya waislam na uislam
waislam wanafik sana hawakuona waliyofanya Hamas
 
Kwani huvioni? Wewe mkiristo unaonesha wazi unawaunga mkono kwa sababu wanapigana na waislam
kwamba hujui sabab wa hayo mapigo ? kwasasa naanza kuamin uslam na ushetan ni mapacha , huez kuona sawa tu walichofanya HAMAS yaan kwenye uislam mtu asiye muislam hana thaman ? je huyo mungu wenu anafundisha chuki?
 
Leo karibu misikiti yote duniani kulikuwa na hotuba ya kuwalaani Mayahudi na kuwaombea dua na kuwapongeza Palestina kwa hatua yao ya kuilinda ardhi yao na kuilinda ardhi tukufu ya waislam.

Wamesema hivi ni vita dhidi ya waislam na uislam
Bado,dunia nzima inaweza kushikamana dhidi yako,lakini Mungu akiwa upande wako,hiyo vita itaishinda ,
 
Leo karibu misikiti yote duniani kulikuwa na hotuba ya kuwalaani Mayahudi na kuwaombea dua na kuwapongeza Palestina kwa hatua yao ya kuilinda ardhi yao na kuilinda ardhi tukufu ya waislam.

Wamesema hivi ni vita dhidi ya waislam na uislam
Hawa bure kabisa, nilidhania wangekemea tabia ya Hamas kujenga mahandaki kwenye misikiti.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kiufupi hii ni ya kidini,kwa nini nasema hivyo.
1. Morocco anakalia ardhi wasahara,jamii ya kiislamu imenyamaza kimya
2. China anawadhurumu waislamu,kiasi kuwafungia maeneo maalumu jamii ya kiislamu imekaa kimya.
3. Waislamu w la Rohingya wanadhurumia na kuteswa na utawala wa myimal wanachomewa hata kagema wanajistii jamii ya kiislamu ipo kimya.
4. Uturuki inawadhurumu na kuwaua wakurdi , wanafukuzwa kwenye nchi yao jamii ya kiislamu ipo kimya.
Unajua kwa nini? ni kwa sababu katika kitabu chao Quran hakujaandikwa uadui kati ya ,mchina ,mturuki, Morocco,myimal wala mchina.
Lakini Quran anaagiza waumini kuwaua wayahudi hata kama wapo chini ya mawe.
Tena adui anayetajwa wa kwanza katika Quran ni myahudi, wa pili wao ni wakristo.
Na hao wanaungana dhidi ya Israel wanaongozwa na andiko hilo ,japo kinafiki hawasemi,wanajifanya kuwaonea huruma wapalestina.
Semani ukweli kama ilivyo katika mafundisho ya imani yenu.
Kuweni wazi wala misiogope ,dunia nzima inalijua hilo.
Mtawamaliza wapalestina kwa unafiki wenu, mnashikamana na watu waliochoma watoto wa watu,wameua watu kwenye kumbi za starehe, kisa dini inawaagiza. Badala ya kuwakemea Hamas kwa vitendo vyao viovu nyinyi mnawapongeza na kuwaona mashujaa. Myahudi hatawaacha hata muungane,naye anao washirika wake wataungana nae
 
RIP Mwl.JKN
20231014_220325.jpg
 
Vita ya kidini kati ya waislam.na nani? Je wapalestina ambao sio waislam nao wanapigana na nani? Inasikitisha sana kama haya ndio mawaidha ya leo misikitini. Mna mashehe vilaza sana.

Naomba nijifunze leo, hivi mpaka uwe shehe unatakiwa uwe na sifa zipi?
 
Mimi nawapa Pole tu Muslims... Hamas they want Problems always... Israel huwezi ilaani Allah aliwalaani lakini wapo na wanadunda na kuwadunda wajalana wa Allah Arabs za Neighbours
 
Leo karibu misikiti yote duniani kulikuwa na hotuba ya kuwalaani Mayahudi na kuwaombea dua na kuwapongeza Palestina kwa hatua yao ya kuilinda ardhi yao na kuilinda ardhi tukufu ya waislam.

Wamesema hivi ni vita dhidi ya waislam na uislam
ata kwetu pia, alhamdulillah - Mazayuni hawawezi kushinda
 
Hii si vita vya kidini. Ni vita ya watu kudhulumiwa ardhi yao, uhuru yao na nia ya watu kujitawala.
Sahihi kabisa

Waarabu hawana kitu kiumoja. Wote ni wapiga show kwa raha na starehe
Ni kweli.

Wapalestina wangeomba kumpata mtu kama Mwl. JK Nyerere aliyeweza kuunganisha Africa nzima na kuwezesha uhuru wa nchi za Kusini mwa Africa bila ya kujali chochote kile.
Gamal Abdel Naseer (Rip) alikuwa nguzo kubwa mno huko kwenye Ulimwengu wa Kiarabu ila hakufanikiwa mwishowe.

Yaseer Arafat (Rip) aliweza sana kuiunganisha Palestine ila hakufanikiwa mwishowe.
 
Hapa ndipo wanapokosea na kufanya watu wahusianishe uislam na ugaidi...
Wakristo mnatatizo fulani la akili, na si waadilifu, kwahiyo anayo yafanya Myahudi ni sahihi ?

Mfano Mimi leo hii nikisema niongelee suala ya Israeli na Palestina lazima nitaweka kila kitu mahala pake, jambo ambalo Wakristo hamuwezi. Kwanini nasema hamuwezi, yule aliyewamumba anasema nyinyi mliyoyaficha mioyoni mwenu dhidi yetu sisi Waislamu ni makubwa kuliko mnayo yadhihirisha, yaani mnatuchukia sisi Waislamu kiasi ambacho mnashindwa kutufanyia uadilifu.

Jambo la wazi unashindwa kuliongelea unarukia kwenye kusoa upande mmoja.
 
Back
Top Bottom