Hotuba ya Zitto Kabwe - Kigoma: 21 Desemba 2013

Katika picha zote na hata jukwaa alilolutumia hakuna bendera ya CHADEMA,hata kwenye maandamano ya wafuasi wa Zitto na pikipiki hakuna bendera ya CHADEMA,na ikumbukwe Zitto amejitapa sana kuwa anakipenda CHADEMA na angependa hata mtoto wake aje kuwa CHADEMA,Mbunge wa CHADEMA na unayehubiri mapenzi kwa chama unakosaje hata bendera moja ya chama kwenye mkutano wako?? Huu sio unafiki??!!

Tukisema kuwa mkutano huu umeratibiwa kwa maelezo maalum na pia kuandaa hadhira mathalani wasibebe bendera wala alama yoyote ya chama Tutaongea?? Tukisema mkutano huu ni wa mamluki dhidi ya CHADEMA tutakosea??!! Zitto ni mtu wa ajabu sana!!

Kwenye hotuba yake amelialia kutokuaminiwa ila kweli inajulikana kuwa matendo ya mtu ya kutilia shaka au maouvu ndio hufanya mtu asiaminike,imani hainunuliwi bali inatengenezwa kwa hiyo matendo ya Zitto ndio yanafanya uonekane msaliti

Kigoma inahistoria chafu ya kutoa wanasiasa wanafiki,wazandiki na wachumia tumbo na Zitto nathubutu kusema ni mmoja wao,Kigoma ingebaki kutoa wacheza mpira na wanamziki kama wakina Kaseja,Maulidi,Ali Kiba n'a wengine lakini si viongozi wa siasa,kwani ni wezi wa fikra na imani za walalahoi kwa maslahi yao binafsi n'a watu wanaowatumikia!!!

Team baba freelady at work. Nyie mkishapiga mixture ya mbege na viroba, ndani ya vichwa vyenu ni full joto.

Hamuwezi kuelewa tena ni kubwabwaja tu kama teja. ZZK ni another level

Hata kama siyo leo, siku moja mtamkubali na kuukataa ufisadi na uhafidhina ulio ndani cdm.

Viva la Zitto.
 
Kuna Bango ZITTO ni Kama MANDELA ki vipi?

MANDELA habagui hatengi sio two faces hakuwa na tamaa

Sasa ZITTO baada ya huu MKUTANO wa TABORA atakwenda ARUSHA kuhutubia ?

Au ndio sasa tumeanza kama KENYA Bahati Mbaya yeye ni KABILA DOGO anaamsha watu wa Makabila Makubwa pia kugombea URAISI?

unaposema kabila dogo unamaanisha nini?
 
Mwogope sana mwanasiasa ambaye wewe unatumia nguvu nyingi na kelele nyingi katika maandalizi ya kimapambano lakini yeye yuko calm, cool, collected and focused.

George Washington said, Truth will ultimately prevail where there is pains to bring it to light.
 
unaposema kabila dogo unamaanisha nini?

Population wize yeye ni wa UJIJI hauwezi kulinganisha na WAHAYA; WASUKUMA; WANYAKYUSA Sasa kama wakiwa na Mgombea wa kwao na kukimbilia huko kwao na kuitisha mikutano kama ya ZITTO KABWE - URAIS utakwenda wapi?

Itakuwa ndio MWISHO wa watu wa VIKABILA VIDOGO ambao sasa hivi ndio wenye Maneno na Midomo mikali kama WEMBE kuwa Marais wa NCHI HII...

Toka tupata Uhuru Nchi yetu haijawahi kutawaliwa na Viongozi wa Makabila Makubwa hata kuwa MAWAZIRI WAKUU na kwasababu ya siasa za UELEWANO na USAWA zilizoelezwa na JULIUS NYERERE Wananchi wengi hawakuona sababu hizo

Lakini kama Watu Walafi wa MADARAKA kama ZITTO KABWE anavyojifikiria Mwenyewe kuwa KIGOMA itampatia URAIS na kusahau kuwa KABILA LAKE ni DOGO sana kama anataka kuelemea hivyo au kwa kutumia UDINI vyote atashindwa

Kwasababu akitumia DINI NCHI GANI DUNIANI itamtukuza ??? zaidi ya NCHI ZA KIBAGUZI???

Na hivyo BASI ni wapi atakuwa sawa sawa na NELSON MANDELA ??? ambaye aliamua kukaa mbali na DINI ili kuimarisha MUUNGANO wa Wananchi wa nchi yake kuwa a RAINBOW NATION ???

ZITTO KABWE is a DESTROYER of the PEACEFUL NATION because of his POWER GREED...

Na VIONGOZI wa CCM hawawezi kumkemea kwasababu wanafurahia kuwa anatia DOA JEUSI NDANI YA CHADEMA hivyo CHADEMA kinakosa NGUVU na WASHABIKI; CCM hawajui ya kuwa hizo DOSARI pia kwasababu hazikemewi zitaota MIZIZI hivyo basi zitakuwepo NCHINI kwasababu ZITTO aliweza kwanini MIMI nisiweze???

Angalia SOUTH SUDAN... walijitenga sababu walisema walikuwa wanateswa na kunyanyaswa na Waarabu Waislamu Weupe wa NORTH; Haya UN na NCHI DUNIANI wakawahurumia na kuwapa nchi yao huru na kusheherekea UHURU WAO na kuweka mikataba mipya ya mafuta yake...

* Cha Ajabu na kuandika kwenye HISTORIA ya DUNIA Rais KIKWETE alimchukua ZITTO KABWE ndani ya NDEGE ya RAIS hadi SOUTH SUDAN kwenye sherehe za Uhuru na kuapishwa kwa rais mpya huru mweusi wa nchi mpya... NI NINI KILIKUWA NDANI YA UBONGO wa ZITTO KABWE??? EVIL THOUGHTS?? sababu this is what is happening now

Wao ni Weusi Rangi inayojulikana; Wengi wao ni Wakristo na Wapagani hakuna Matatizo Ardhi salama; Haya kilicho gawika mara Moja hakidumu... Sasa Tatizo lingine na ubaguzi na uchakachuaji Mwingine Umeingia... Vita vikali vya ajabu vinakaribia kutokea

UN wameanza kwanza kukimbia... haya watawagawa tena au sasa wataongelea AMANI???

NDIO SISI hivyo... ZITTO KABWE ATATUPELEKA HUKO?? na KIGOMA YAKE??? CHUNGENI Mnachokisifia na kushangilia; Hamjui HUMAN SUFFERING...

GO9G9081.JPG

The South Sudan President General Salva Kiir Mayardit welcomes to Juba President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete shortly after he arrived to participate in the celebrations to mark the birth of the new Republic of South Sudan yesterday afternoon.

GO9G9032.JPG

President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete chats with the South Sudan President General Salva Kiir Mayardit in Juba yesterday afternoon during the celebrations to mark the birth of the new African Nation.Looking on in the centre is the First Lady Mama Salma Kikwete

GO9G9098.JPG

President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete congratulates the first South Sudan Republic President General Salva Kiir Mayardit in Juba yesterday afternoon. Looking on, are the first Lady Mama Salma Kikwete and the Great Lakes Region Secretary Genera,l Ambassador Liberata Mulamula.
GO9G9056.JPG

CHADEMA MP for Kigoma North Hn. Zitto KABWE congratulates the first South Sudan President, General Salva Kiir Mayardit, in Juba shortly after he was introduced by President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete(in the background). Hon Zitto Kabwe was part of the Tanzanian presidential entourage to the celebrations to mark the birth of the Republic of South Sudan.Photos by Freddy Maro
 
If u dnt believe this guy is smart,then u better know u will never recognize any one again,all staff are sane and well spoken
 
WOTE MNAO MSEMA ZITO NAWAKEMEA KWA LUGHA SITA! Ni Mzalendo Toka Mtoto Mchanga Mpaka Sasa!
 
WOTE MNAO MSEMA ZITO NAWAKEMEA KWA LUGHA SITA! Ni Mzalendo Toka Mtoto Mchanga Mpaka Sasa! NAWACHUKIA NA KAMA NDO WEWE UNAE SOMA HAPA NAKUCHUKIA KWELIKWELI! Mafisadi Wa Chamagamba Wana Waendesha Saana!!!!
 
Team baba freelady at work. Nyie mkishapiga mixture ya mbege na viroba, ndani ya vichwa vyenu ni full joto.

Hamuwezi kuelewa tena ni kubwabwaja tu kama teja. ZZK ni another level

Hata kama siyo leo, siku moja mtamkubali na kuukataa ufisadi na uhafidhina ulio ndani cdm.

Viva la Zitto.

Sasa kama kuna UFISADI na UHAFIDHINA ndani ya CHADEMA kwanini asijitoe ? Ina Maana anavyofanya kazi za CCM ndani ya CHADEMA haoni UFISADI na UHAFIDHINA ndani ya CCM hata KIDOGO EH?

Yaani ameshindwa kuarange mikutano na watu wengine mpaka anatumia VIJANA wa CHADEMA waliohamia CCM kweli that's LOW na Mnataka awe rais wa nchi? au wa UJIJI?

Kwa hivi alivyofanya sidhani atapata kura za kumuezesha kuongoza nchi hii ---- kwahiyo washindi ni BIG WIGS in CCM they have terrorize CHADEMA at the same time minimize the powers of their affluent member ZITTO KABWE
 
Mtayarishaji wa mabango ya Kigoma sijui kwanini ana mwandiko wa kufanana. Huwa najiuliza sana, au sijui ni mtu mmoja?
 
Population wize yeye ni wa UJIJI hauwezi kulinganisha na WAHAYA; WASUKUMA; WANYAKYUSA Sasa kama wakiwa na Mgombea wa kwao na kukimbilia huko kwao na kuitisha mikutano kama ya ZITTO KABWE - URAIS utakwenda wapi?

Itakuwa ndio MWISHO wa watu wa VIKABILA VIDOGO ambao sasa hivi ndio wenye Maneno na Midomo mikali kama WEMBE kuwa Marais wa NCHI HII...

Toka tupata Uhuru Nchi yetu haijawahi kutawaliwa na Viongozi wa Makabila Makubwa hata kuwa MAWAZIRI WAKUU na kwasababu ya siasa za UELEWANO na USAWA zilizoelezwa na JULIUS NYERERE Wananchi wengi hawakuona sababu hizo

Lakini kama Watu Walafi wa MADARAKA kama ZITTO KABWE anavyojifikiria Mwenyewe kuwa KIGOMA itampatia URAIS na kusahau kuwa KABILA LAKE ni DOGO sana kama anataka kuelemea hivyo au kwa kutumia UDINI vyote atashindwa

Kwasababu akitumia DINI NCHI GANI DUNIANI itamtukuza ??? zaidi ya NCHI ZA KIBAGUZI???

Na hivyo BASI ni wapi atakuwa sawa sawa na NELSON MANDELA ??? ambaye aliamua kukaa mbali na DINI ili kuimarisha MUUNGANO wa Wananchi wa nchi yake kuwa a RAINBOW NATION ???

ZITTO KABWE is a DESTROYER of the PEACEFUL NATION because of his POWER GREED...

Na VIONGOZI wa CCM hawawezi kumkemea kwasababu wanafurahia kuwa anatia DOA JEUSI NDANI YA CHADEMA hivyo CHADEMA kinakosa NGUVU na WASHABIKI; CCM hawajui ya kuwa hizo DOSARI pia kwasababu hazikemewi zitaota MIZIZI hivyo basi zitakuwepo NCHINI kwasababu ZITTO aliweza kwanini MIMI nisiweze???

Angalia SOUTH SUDAN... walijitenga sababu walisema walikuwa wanateswa na kunyanyaswa na Waarabu Waislamu Weupe wa NORTH; Haya UN na NCHI DUNIANI wakawahurumia na kuwapa nchi yao huru na kusheherekea UHURU WAO na kuweka mikataba mipya ya mafuta yake...

* Cha Ajabu na kuandika kwenye HISTORIA ya DUNIA Rais KIKWETE alimchukua ZITTO KABWE ndani ya NDEGE ya RAIS hadi SOUTH SUDAN kwenye sherehe za Uhuru na kuapishwa kwa rais mpya huru mweusi wa nchi mpya... NI NINI KILIKUWA NDANI YA UBONGO wa ZITTO KABWE??? EVIL THOUGHTS?? sababu this is what is happening now

Wao ni Weusi Rangi inayojulikana; Wengi wao ni Wakristo na Wapagani hakuna Matatizo Ardhi salama; Haya kilicho gawika mara Moja hakidumu... Sasa Tatizo lingine na ubaguzi na uchakachuaji Mwingine Umeingia... Vita vikali vya ajabu vinakaribia kutokea

UN wameanza kwanza kukimbia... haya watawagawa tena au sasa wataongelea AMANI???

NDIO SISI hivyo... ZITTO KABWE ATATUPELEKA HUKO?? na KIGOMA YAKE??? CHUNGENI Mnachokisifia na kushangilia; Hamjui HUMAN SUFFERING...

GO9G9081.JPG

The South Sudan President General Salva Kiir Mayardit welcomes to Juba President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete shortly after he arrived to participate in the celebrations to mark the birth of the new Republic of South Sudan yesterday afternoon.

GO9G9032.JPG

President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete chats with the South Sudan President General Salva Kiir Mayardit in Juba yesterday afternoon during the celebrations to mark the birth of the new African Nation.Looking on in the centre is the First Lady Mama Salma Kikwete

GO9G9098.JPG

President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete congratulates the first South Sudan Republic President General Salva Kiir Mayardit in Juba yesterday afternoon. Looking on, are the first Lady Mama Salma Kikwete and the Great Lakes Region Secretary Genera,l Ambassador Liberata Mulamula.
GO9G9056.JPG

CHADEMA MP for Kigoma North Hn. Zitto KABWE congratulates the first South Sudan President, General Salva Kiir Mayardit, in Juba shortly after he was introduced by President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete(in the background). Hon Zitto Kabwe was part of the Tanzanian presidential entourage to the celebrations to mark the birth of the Republic of South Sudan.Photos by Freddy Maro

kwahiyo nanyie mnavyolisifia kabila lenu n kubwa? mnavyopigania ukomboz wake mtashinda?
 
Kwanini Kigoma? sasa kila mtu ni kwenda kwao Ukabila Udini ndio Demokrasia?

ulitaka aende moshi. aache kwenda jimboni kwake? yaani aache kuonana na wapiga kura wake kisa anakuogopa wewe???
 
kwahiyo nanyie mnavyolisifia kabila lenu n kubwa? mnavyopigania ukomboz wake mtashinda?

Umenisikia MIMI nikiruka ruka na KUELEZA UIMARA wa KABILA au DINI yangu? HATA KIDOGO - TAFADHALi SANA JARIBU kuelewa MY CONCERNS and not TWISTING DAMN WORDS, PLEASE...

Tumefika kwenye stage hii? Yaani Unasoma Hii article to PLEASE your LEFT LEANING MIND? WOW

Kwahiyo Unaona Individualism works in AFRICAN TYPE of DEMOCRACY? You don't need to sacrifice...

ZITTO anasema Wananchi wakimwogoma KIONGOZI wao ni UDIKTETA; lakini KIONGOZI akiwaogopa Wananchi ni DEMOKRASIA

Sasa Inamaana Tulikuwa tunamuogopa NYERERE alikuwa ni DIKTETA? ki VIPI ?

Kwahiyo Rais tuliye naye sasa Jakaya KIKWETE hatumuogopi? ni DEMOKRASIA ya kweli ? 2010 karibia aanguke kama sio MIZENGWE na CUF ku-campaign achaguliwe sababu wale wa CHADEMA walionekana kama wanashinda hivyo CUF itumie nguvu za DINI kuhakikisha KIKWETE anachaguliwa....

So, was that a DEMOCRACY ?

Ndio Maana nakuambia vitu vidogo vidogo kama VIKABILA DINI n,k lazima vikemewa Mapema kabla havijaota MIZIZI na kushindwa kukata hiyo MIZIZI kama NCHI ZINGINE sasa hivi ni Mapango
 
Back
Top Bottom