JUMLA YA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA YALIYOAINISHWA KATIKA TAARIFA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2009/2010 | |
MAELEZO | KIASI |
Manunuzi yaliyofanywa nje ya mpango wa mwaka | 50,685,371,565.58 |
Matengenezo ya magari ambayo hayakupitia TEMESA | 176,722,089.00 |
Malipo ya mishahara kwa watumishi waliostaafu, waliokufa na watoro kazini | 1,842,607,565.29 |
Malipo ya posho ya samani kwa maafisa wasiostahili | 770,087,895.00 |
Malipo yenye nyaraka pungufu | 4,303,339,515.00 |
Vifaa vilivyolipiwa bado havijapokelewa | 13,865,874,762.00 |
Malipo yaliyofanyika katika kasma isiyo sahihi | 4,953,226,683.00 |
Malipo yenye shaka | 15,595,054,755.00 |
Madeni na ahadi ya serikali | 254,616,874,180 |
Misamaha ya kodi | 680,667,900,000.00 |
Maduhuli yasiyokusanywa kwa wakati | 116,320,437,345.00 |
Madeni ya dharura ambayo hayakutarajiwa | 26,276,785,317.00 |
Kutoa udhamini kinyume na kiwango kilichowekwa na sheria | 711,804,989,096.00 |
Madai na amana za serikali ambazo hazikutolewa taarifa | 134,046,000,000.00 |
Madeni ya vifaa na huduma ambayo hayakulipwa | 160,756,067,190.00 |
Upotevu wa fedha na mali za serikali | 11,152,048,065.00 |
Kutokuwepo uwazi katika mifuko maalumu ya fedha | 78,014,807,604.00 |
Bakaa ambayo haikurejeshwa kwa mlipaji mkuu | 31,821,562,811.00 |
Kukosekana kwa orodha ya waliolipwa kuchochea ukuaji wa uchumi | 48,000,270,000.00 |
Malipo kwa Benki ya Rasilimali bila nyaraka za muhimu kutolewa | 70,000,000,000.00 |
Jumla ya fedha zilizotumika vibaya katika mwaka husika wa fedha | 2,415,670,026,437.87 |
Bajeti ya mwaka husika ilikuwa | 11,000,000,000,000.00 |
Kwa hiyo, Jumla ya fedha zilizotumika vibaya ni sawa na 20% ya bajeti nzima | 2,415,670,026,437.87 |
MAMBO MENGINE YA KUTILIWA MAANANI | |
Deni la taifa limekua kwa 38% na kufikia | Trilioni 10 |
Jumla ya mali za serikali ambazo hazipo katika rejista | Trilioni 7.9 |
Jumla ya fedha zisizoonekana kutokana na dosari za kibenki kwa muda mrefu | Bilioni 747.1 |
Fedha nyingine zilizotumiwa na serikali zaidi ya amana iliyopo benki | Trilioni 1.3 |
Jumla ya vitega uchumi vya serikali ambavyo hesabu zake hazikurekodiwa | Trilioni 8.7 |
Miundombinu-Barabara,reli, bandari na mkongo wa Taifa | 2,781.40 | ||||
Nishati na Madini | 539.3 | ||||
Maji | 621.6 | ||||
Kilimo na Umwagiliaji | 926.2 | ||||
Elimu | 2,283.00 | ||||
Afya | 1,209.10 | ||||
JUMLA KWA SEKTA SITA | 8,360.60 | ||||
Mheshimiwa Spika, Tsh Trilioni 8.361 ni kwa ajili ya Sekta sita tu ambayo ni sawa na asilimia 62% ya bajeti nzima. |
MAPATO | .ShT Bilioni |
Mapato ya Ndani | 8,681. |
Mapato ya Halmashauri | 351. |
Mikopo na Misaada ya nje | 3,924. |
Mikopo ya Ndani | 1,204. |
JUMLA YA MAPATO | 14,160 |
MATUMIZI | .ShT Bilioni |
Matumizi ya Kawaida | 7,913 |
Matumizi ya Maendeleo | |
i. Fedha za Ndani:- 3,193 | |
ii. Fedha za nje:- 3,054 | 6,247 |
JUMLA MATUMIZI | 14,160 |
"...mheshimiwa spika,mifano ya asilimia ya mikopo katika mitaji ya makampuni ya madinihapa nchini ni kama ifuatavyo (chanzomasha mining reviewreport);(i) geita gold mine – 12,597,000 %(ii) bulyanhulu gold mine – 791 %(iii) resolute gold mine – 5088%
mheshimiwa spika,utaona kuwa kwa muundo huo wa mitaji ya makampuni hayamatatu tu ni namna gani ambavyo sehemu kubwa ya fedhazinazotokana na faida wanayopata kwenye mauzo ya dhahabuhuishia kulipia madeni na riba na hivyo kukosesha serikali mapato.hii kwa wataalamu wa kodi inaitwa ‘tax planning measures'.muundo huu wa mitaji ya uwekezaji itapelekea makampuni hayakutangaza hasara kila mwaka..."
tra wanajua,serikali si ajabu ilishauriwa, kwanini serikali inaendelea kuwabeba hawa jamaa na ujanja wao wa kalamu unaofahamika ili wasilipe kodi stahili?
Natamani hii ndio ingekuwa bajeti yenyewe.......
naomba ufafanuzi tafadhali hapo kwenye red, wanasema budget iko supported na donors kwa 40%. Sasa ukichukua jumla ya budget ambayo ni Trilion 13.5 (?) ukatoa 40% ya wafadhili si tunabakiwa karibia na Trilion 8 hivi! Sasa kama deni linazidi kile tunachozalisha (kusanya) na increment ya deni ni 38% maana yake ni nini??? NCHI SI IMEFILISIKA!!!!????? Msaada wenu tafadhali wana jf[FONT=Calibri said:MAMBO MENGINE YA KUTILIWA MAANANI[/FONT]
Deni la taifa limekua kwa 38% na kufikia Trilioni 10
Jumla ya mali za serikali ambazo hazipo katika rejista Trilioni 7.9
Jumla ya fedha zisizoonekana kutokana na dosari za kibenki kwa muda mrefu Bilioni 747.1
Fedha nyingine zilizotumiwa na serikali zaidi ya amana iliyopo benki Trilioni 1.3
Jumla ya vitega uchumi vya serikali ambavyo hesabu zake hazikurekodiwa Trilioni 8.7