Mtaka Haki
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 492
- 149
- Thread starter
- #61
Tunaomba muiweke hotuba ya leo yaani hotuba yenyewe MARA ITAKAPOTOLEWA.
CHADEMA ni nuru ya Taifa hakika ukombozi wa ukweli umefika Tanzania,VIVA CHADEMA.
<br /><font color="#222222">Kwa kweli hii imekaa vizuri hongera. Ninaona watu wa magamba wanavyojikanyaga hapa, wanahangaika kuitafutia hoja ya kuipinga lakini wameshindwa. Wananchi walikuwa na hamu ya kusikia huu mfano wa madiwani ili kujua ya kuwa hata mbunge akienda kinyume na sheria inabidi awajibike. Chadema wapewe nchi hata kesho tutawaona waliouza na waliokula mashirika yetu mpaka watanzania tumekuwa kama mayatima.</font>
Tafadhali tupe taarifa zaidi.Magamba wameumiza kichwa wamekosa cha kufanya wanaona wakataze maandamano ila huu ndio mwisho wao
mtujuze yapi yanaendelea huko Arusha!