Hotuba ya rais Kikwete ya kufunga mwaka 2010

sasa inaonekana karibu wote wabunge wa CCM wanataka katiba mpya, mmh hii kitu inaonekana imekaa vizuri.
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kahama lawmaker James Lembeli yesterday has said that Tanzania needs a new constitution which will meet the current people's needs.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Apart from constitutional needs, the outspoken MP asked the government and other relevant authorities to ensure that the suspects linked to grand corruption scandals be taken to court, irrespective of their status.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]He made the remarks here when talking to journalists from different media outlets.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]The parliamentarian expressed his fear, saying corrupt people, if they were not swiftly delt with by being taken to court, would mar the drafting of the country's constitution because of their influence in the government and the ruling party.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]In his view, the current constitution had a number of shortfalls, hence the need to be drafted afresh to suit the current people's demands. [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]He said Tanzania was no longer a socialist country as it was before, hence there was an urgent need to draft a new constitution to reflect the current situation.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Lembeli urged the government to open its eyes and listen to people's outcry, saying a constitution was for the people and not animals.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]There is no need to be blind on this. It is high time Tanzania came up with a new constitution which will suit the interests of many people," he said, adding: [/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]By remaining silent on this it means that the government is trying to instigate unnecessary chaos."[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]He said top government leaders were there for public interest, hence they should be working in the people's interests and not in their own interests.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]The issue of a new constitution needs no debate; the people have waited for too long for it. So, this time around is the chance to act and change the current constitution which gives room to corrupt people."[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]He said corrupt people have been destroying the country in various ways as they have the money to anything they want. He however warned that the war on corruption would not cease until Tanzania was free from the vice. [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Lembeli is one of CCM parliamentarians crusading against corruption. [/FONT]
 
Ifuatayo ni dondoo kutoka hotuba ya Kikwete kwa Taifa ya kufunga mwaka:

[FONT=Palatino Linotype, serif]Jambo la [/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif]nne [/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif]ambalo tulilokubaliana kufanya ni kuanzisha mchakato wa kuitazama upya Katiba ya Nchi yetu kwa lengo la kuihuisha ili hatimaye tuwe na Katiba inayoendana na taifa lenye umri wa nusu karne. Katiba yetu ya sasa tuliyoachiwa na waasisi wa taifa letu, imeifanyia nchi yetu mambo mengi mazuri na kuifikisha Tanzania na Watanzania hapa tulipo. Tunayo nchi moja huru, ya kidemokrasia na inayoendesha mambo yake kwa kuzingatia utawala wa sheria, kuheshimu haki za binadamu na mgawanyo wa madaraka miongoni mwa mihimili mikuu ya dola. Nchi yenye amani, utulivu na watu wake ni wamoja, wanaopendana na kushirikiana na maendeleo yanazidi kupatikana. [/FONT]

[FONT=Palatino Linotype, serif]Pamoja na hayo, mwaka 2011, nchi yetu inatimiza miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara, miaka 47 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar na miaka 47 ya Muungano wa nchi zetu mbili. Yapo mabadiliko mengi yaliyotokea katika nyanja mbalimbali za maisha ya nchi yetu na watu wake katika kipindi hiki. Kwa ajili hiyo ni vyema kuwa na Katiba inayoendana na mabadiliko na matakwa na hali ya sasa. Katiba ambayo italipeleka taifa letu miaka 50 ijayo kwa salama, amani, umoja na kuwepo maendeleo makubwa zaidi.[/FONT]

[FONT=Palatino Linotype, serif]Ndugu Wananchi;[/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]Ndiyo maana tukaamua kuanzisha mchakato huu na kwa ajili hiyo, nimeamua kuunda Tume maalum ya Katiba, yaani [/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif]Constitutional Review Commission. [/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif]Tume hiyo [/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif]itakayoongozwa na Mwanasheria aliyebobea, itakuwa na wajumbe wanaowakilisha makundi mbalimbali katika jamii yetu kutoka pande zetu mbili za Muungano. Jukumu la msingi la Tume hiyo litakuwa ni kuongoza na kuratibu mchakato utakaowashirikisha wananchi wote bila kubagua, vyama vya siasa, wanasiasa, wafanyabiashara, asasi za kiraia, mashirika ya dini, wanataaluma na makundi mbalimbali ya watu wa nchi yetu kote nchini, katika kutoa maoni yao juu ya wayatakayo kuhusu Katiba ya nchi yao.[/FONT]

[FONT=Palatino Linotype, serif]Baada ya kukamilisha kukusanya maoni, Tume itatoa mapendekezo yake yatakayofikishwa kwenye vyombo stahiki vya Kikatiba kwa kufanyiwa maamuzi. Baada ya makubaliano kufikiwa, taifa letu litapata Katiba mpya kwa siku itakayoamuliwa ianze kutumika.[/FONT]

[FONT=Palatino Linotype, serif]Ndugu Wananchi;[/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]Ni matumaini yangu kuwa mchakato huo utaendeshwa vizuri, kwa amani na utulivu kama ilivyo sifa ya nchi yetu na mazoea yetu ya kujadiliana bila kugombana. Wananchi watapewa fursa ya kutosha ya kutoa maoni yao kwa uhuru na pawepo kuvumiliana kwa hali ya juu pale watu wanapotufautiana kwa mawazo. Pasiwepo kutukanana, kudharauliana, kushutumiana, kubezana, kuzomeana wala kushinikizana. Naomba washiriki waongozwe kwa hoja badala ya jazba. Tukiwa na jazba, hasira na kushinikizana kamwe hatutaweza kutengeneza jambo jema. Na inapohusu Katiba ya Nchi itakuwa hasara tupu. Haitakuwa endelevu na kulazimika kufanyiwa marekebisho mengi mwanzoni tu baada ya kutungwa.[/FONT]

[FONT=Palatino Linotype, serif]Nawaomba Watanzania wenzangu wenye maoni yao wajiandae kushiriki kwa ukamilifu katika mchakato huu. Katoeni maoni yenu mazuri yatakayowezesha nchi yetu kuwa na Katiba itakayokidhi matakwa yetu ya sasa na ya miaka 50 ijayo. [/FONT]


ndugu zangu hakuna jipya katika hotua hiyo,kwanza Kikwete haelewi nini watanzania wanataka,hatuitaji tume wala marekebisho tunahitaji katiba Mpya itakayoundwa na watanzania wote not tume.Kikwete hatukuachii kwa hili.

Other5s ni uwongo mtupu,wewe ndito ulikaribisha IPTL enzi ukiwa waziri leo unatwambia Tanesco ni business zaidi Pumbavuuuuuuuuuuuuuuuuuu watu tunateseka unatuona kama watoto.siasa tu humo ndani hautapona mwaka huu jiandae na mitutu yako na sisi na kombora moja tu.
 
Nawatanabaisha ndugu zangu myajue hayo ili msipoteze muda wenu muhimu wa kujiendeleza na kugeuzwa kuwa mbuzi wa kafara kwa ajili ya kuendeleza maslahi ya kisiasa ya watu fulani. Kwa jinsi watu hao walivyokuwa wabinafsi na wasivyokuwa na huruma na wenzao, wako tayari kuchochea ghasia bila kujali madhara yatakayowakuta watu watakaoshiriki. Wao hasa wanachotaka ni ghasia kutokea na vyombo vya dola kuingilia ati waiambie jumuiya ya kimataifa jinsi Serikali yetu ilivyo katili. Nawasihi ndugu zangu msiwasikilize wala kuwafuata wanasiasa hawa.

well noted
 
Back
Top Bottom