Hotuba ya Rais Kikwete kuliaga Bunge - 09, Julai 2015

Mkwere anataja magazeti ya udaku kama mfano wa magazeti 62 yanayotoka kila wiki,kataja ijumaa,uwazi,sani
 
Rais Kikwete: Uhuru wa Vyombo vya habari umeimarika, magazeti ya kila siku yapo mengi, ya serikali ni mawili pekee. huo ndio Uhuru wa habari?Jk anatufanya mazuzu
 
Hahahaaaaa

Eti gazeti LA uwazi, ijumaa , sani ndo Uhuru wa vyombo vya habari?

Mwanahalisi kafungiwa Mara ngapi?
 
Uhuru wa Vyombo vya Habari ni idadi ya vyombo vya habari pekee?
 
Yes hapo ni kweli , awamu ya nne uhuru wa habari , radio kibao huko mbeya hadi wananchi wanalalamika , tutakukumbuka JK

Fungia magazeti, ua waandishi wa habari eeh huu ndo uhuru wenyewe, asante jk.
 
Jamani Jaribuni Kuwa Wafuatiliaji Wazuri Wa Mambo Na Msipende Sana Kuwa Wapashkuna Wa Mambo. Fungulia TBC1 Na Kama Ulikiwa Mwanzo Wakati Wa Utangulizi Ambapo Spika Makinda Alizungumza Na Hata Alipomkaribisha Rais Kikwete Wote Walitoa Nasaha Za Kuagana Rasmi Na Kuwa Bunge La Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Linavunjwa Rasmi Leo Hii Hii. Muwe Mnakuwa Karibu Na Vyombo Vyenu Vya Habari Ili Kupunguza Umbea Na Uzushi.
Hivi ni wale wanaotoga pua?
 
Mkwere karusha ngumi gizani,naona imempata lowassa!teh teh wabunge wakashangilia kiaina,ni kuhusu rushwa kwenye uchaguzi!ila amegusa kidogo tu na kurukia kwingine
 
Raisi naona anayataja magazeti anayo yapenda zaidi... kaanza na Ijumaa, Sani akafuata Uwazi kamaliza na Kiu.....

Nenda baba RizMoko
 
Back
Top Bottom