Hotuba ya Rais Kikwete kuliaga Bunge - 09, Julai 2015

MKULIMAwaKITETO (mtoa mada) mnatumia nyenzo gani ktk kilimo mkuu huko kiteto awamu hii ya 'ine':what:
 
kuna misukule imekaririshwa kupinga kila lililofanywa na Kikwete japokuwa linawasaidia wao wenyewe.

ha ha ha ha mkuu hao watu wasitupe taabu facts zitawaumbua tu na sasa hivi maneno yamewaishia maana ile SACCOS yao wameibinafsisha kwa wawekezaji na tayari wamepoteana!
 
Dr Edward Hosea alituambia kuwa taasisi yake imefungwa mikono nyuma haina uwezo wa kushitaki ikishakamata, wewe leo unakuja na porojo zako hapa kuwa Taa ya kukuru wamepewa meno labda ya kukamata dagaa!
 
ha ha ha ha mkuu hao watu wasitupe taabu facts zitawaumbua tu na sasa hivi maneno yamewaishia maana ile SACCOS yao wameibinafsisha kwa wawekezaji na tayari wamepoteana!
ni kweli mkuu. na sasa ukilibana lisukule lolote linakosa hoja na kuishia kusema kuwa ni kodi yetu iliyofanya kazi. lakini kumbe ndo linakiri kuwa Kikwete katekeleza wajibu wake hivyo.
 
1. Vyuo vikuu kulikuwa na wanafunzi wa kike 10,000+ mwaka 2005 na sasa wamefikia 78,000+,Idadi ya wabunge wanawake imeongezeka toka 62 hadi 127 sasa!

2. Mauzo ya nje (export) yameongezeka mara 7; mfumko wa bei si mkubwa
3. Ameaianzisha BRN, alianza na sekta 6; akaongeza nyingine 3. Ni mpango wenye manufaa makubwa
4. Ameanzisha PPP ili kuweza kurahisha ushirikiano kati ya Serikali na Sekta binafsi
5. Tanzania inaongoza Afrika Mashariki kwa kuvutia uwekezaji mkubwa
6. Sekta ya Kilimo nchini imekua kwa kiwango kinachoridhisha
7. Sekta ya Viwanda imekua ingawa bado jitihada zinahitajika kufanikisha zaidi
8. Ajira zimeongezeka;Viwanda vimeongezeka toka 15,000+ hadi 51,000+ sasa. Tunategemea ukuaji zaidi. Ujenzi wa Liganga/Mchuchuma unaanza mwezi wa nane
9. Uvuvi haramu umepungua ingawa haujaisha; mapato toka Sekta ya Uvuvi yameongezeka
10. Sekta ya Utalii imekuwa inachangia 25% ya mapato ya fedha za kigeni

nitaendelea kutaja mafanikio 100 ya awamu ya nne ya rais Jakaya Kikwete, mara ya kwanza tumetaja kumi na leo kumi, tutataja kumi kumi mpaka yafikie 100 ingawa yapo zaidi ya 100
 
11.Hakuna raisi aliyeshinda angani kama raisi wetu
12.Amefanikiwa kuigawa CCM katika makundi makundi
13.Katuonyesha kuwa usiwe na rafiki wa kudumu
14.Kawabwagilia mbali wale waliojipendekeza kwake(Sitta,Bilal, Pinda, Mwigula etc)
 
1. Vyuo vikuu kulikuwa na wanafunzi wa kike 10,000+ mwaka 2005 na sasa wamefikia 78,000+,Idadi ya wabunge wanawake imeongezeka toka 62 hadi 127 sasa!

2. Mauzo ya nje (export) yameongezeka mara 7; mfumko wa bei si mkubwa
3. Ameaianzisha BRN, alianza na sekta 6; akaongeza nyingine 3. Ni mpango wenye manufaa makubwa
4. Ameanzisha PPP ili kuweza kurahisha ushirikiano kati ya Serikali na Sekta binafsi
5. Tanzania inaongoza Afrika Mashariki kwa kuvutia uwekezaji mkubwa
6. Sekta ya Kilimo nchini imekua kwa kiwango kinachoridhisha
7. Sekta ya Viwanda imekua ingawa bado jitihada zinahitajika kufanikisha zaidi
8. Ajira zimeongezeka;Viwanda vimeongezeka toka 15,000+ hadi 51,000+ sasa. Tunategemea ukuaji zaidi. Ujenzi wa Liganga/Mchuchuma unaanza mwezi wa nane
9. Uvuvi haramu umepungua ingawa haujaisha; mapato toka Sekta ya Uvuvi yameongezeka
10. Sekta ya Utalii imekuwa inachangia 25% ya mapato ya fedha za kigeni

Juzi alikuwa nje kwa mdomo wake kasema amefeli sekta ya Kilimo hapa wewe umeandika amefaulu.
PPP ilianzishwa kipindi cha mkapa mbona uko mwpesi sana wewe
 
1. Vyuo vikuu kulikuwa na wanafunzi wa kike 10,000+ mwaka 2005 na sasa wamefikia 78,000+,Idadi ya wabunge wanawake imeongezeka toka 62 hadi 127 sasa!

2. Mauzo ya nje (export) yameongezeka mara 7; mfumko wa bei si mkubwa
3. Ameaianzisha BRN, alianza na sekta 6; akaongeza nyingine 3. Ni mpango wenye manufaa makubwa
4. Ameanzisha PPP ili kuweza kurahisha ushirikiano kati ya Serikali na Sekta binafsi
5. Tanzania inaongoza Afrika Mashariki kwa kuvutia uwekezaji mkubwa
6. Sekta ya Kilimo nchini imekua kwa kiwango kinachoridhisha
7. Sekta ya Viwanda imekua ingawa bado jitihada zinahitajika kufanikisha zaidi
8. Ajira zimeongezeka;Viwanda vimeongezeka toka 15,000+ hadi 51,000+ sasa. Tunategemea ukuaji zaidi. Ujenzi wa Liganga/Mchuchuma unaanza mwezi wa nane
9. Uvuvi haramu umepungua ingawa haujaisha; mapato toka Sekta ya Uvuvi yameongezeka
10. Sekta ya Utalii imekuwa inachangia 25% ya mapato ya fedha za kigeni

Acha kudanganya umma wewe.....tangh lini hii nchi ilikuwa na viwanda 1500??? Kulikuwa na viwanda vya nguo kama mbeya textile, urafiki na kiwanda cha tyre cha Arusha na vyote kaviteteketeza na viwanda chipukizi kivao kaua.....hadi stick mnaagiza china......

BRN imeongeza ziro zinazopelekwa advance.....elimu imeshuka japo idadi ya watu kwenda advance na vyuo ni kubwa na wote ni mburura tuu...wachache wenye uwezo...poor Jk...

SEKTA YA UTALII NA KILIMO NA HAYO MENGINE KUKUA KWAKE KUNA FAIDA GANI KAMA KUNANUFAISHA WACHACHE NA KUANGAMIZA WALIO WENGI.....haina maana ya sekta kukua wakati maisha yanazidi kuwa magum kila siku.......

Mfumuko wa bei na ww ni shaidi sina haja ya kukufafanulia uwongo wako huo....bei ya sukari, mafuta na bidhaa za kila siku kama za ujenzi na majumbani zimepanda mada dufu zaidi......

Katika hayo ulotaja hapo juu hakuna cha kweli na ulichokipamba kwa uzuri hakijasaidia wananchi kwa lolote........Nashukuru anaondoka madarakani tuzidi kuomba Mungu tupate rais mzuri asie kama yy
 
Wewe uliyeponda shule za kata,leo hii unajisikiaje ukisikia madarasa hayatoshi?.
 
1. Vyuo vikuu kulikuwa na wanafunzi wa kike 10,000+ mwaka 2005 na sasa wamefikia 78,000+,Idadi ya wabunge wanawake imeongezeka toka 62 hadi 127 sasa!

2. Mauzo ya nje (export) yameongezeka mara 7; mfumko wa bei si mkubwa
3. Ameaianzisha BRN, alianza na sekta 6; akaongeza nyingine 3. Ni mpango wenye manufaa makubwa
4. Ameanzisha PPP ili kuweza kurahisha ushirikiano kati ya Serikali na Sekta binafsi
5. Tanzania inaongoza Afrika Mashariki kwa kuvutia uwekezaji mkubwa
6. Sekta ya Kilimo nchini imekua kwa kiwango kinachoridhisha
7. Sekta ya Viwanda imekua ingawa bado jitihada zinahitajika kufanikisha zaidi
8. Ajira zimeongezeka;Viwanda vimeongezeka toka 15,000+ hadi 51,000+ sasa. Tunategemea ukuaji zaidi. Ujenzi wa Liganga/Mchuchuma unaanza mwezi wa nane
9. Uvuvi haramu umepungua ingawa haujaisha; mapato toka Sekta ya Uvuvi yameongezeka
10. Sekta ya Utalii imekuwa inachangia 25% ya mapato ya fedha za kigeni

nitaendelea kutaja mafanikio 100 ya awamu ya nne ya rais Jakaya Kikwete, mara ya kwanza tumetaja kumi na leo kumi, tutataja kumi kumi mpaka yafikie 100 ingawa yapo zaidi ya 100
Mafanikio
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom