Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

1.Posho ya kuitwa kazini (on call allowance) iwe asilimia 10 ya mshahara.
2.
Posho ya kufanya kazi katika mazingira hatarishi (Risk allowance) iwe asilimia 30 ya mshahara.
3.
Madaktari wapatiwe nyumba grade A au posho ya makazi ambayo iwe asilimia 30 ya mshahara.
4.Posho ya kufanya kazi katika mazingira magumu iwe asilimia 40 ya mshahara.
5.
Madaktari walipwe posho ya usafiri ya asilimia 10 ya mshahara au wakopeshwe magari.
6.
Madaktari wanaoanza kazi walipwe mshahara wa shilingi 3,500,00/= kwa mwezi.
7.
Madaktari wapatiwe Green Card za Bima ya afya.
8.
Hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi ya Watendaji Wakuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
9.
Viongozi wa Kisiasa kulazimisha kupewa rufaa nje.
10.
Madaktari waliofukuzwa warudishwe kazini.
11.
Huduma za afya ziboreshwe nchini.
12.
Posho ya uchunguzi wa maiti iongezwe.

Mungu wangu hili taifa linaelekea wapi, mbona tumejaza binadamu wenye tamaa sana. Watu wote tunaowapa elimu huishia kujifikiria wao tu. Hivi tutaletewa kweli maendeleo kama wasomi wetu wakisha hitimu ni posho tu ndicho walicho kariri.

I had my reservations towards the doctors demands but after reading them no sane individual will side on them. Eti posho ya risk allowance hivi ni doctor au polisi wa leo anaenda kupambana na maandamano yasio isha yupi anafanya kazi kwenye mazingira ya hatari. Hawa watu ni very selfish na ni tamaa tu.

Sote atukubali malipo ya wabunge na marupurupu yao, na tukiseme tuwaendekeze na madokta nao walipwe vile hii nchi aitakuwa na bajeti ya kufanya kingine chochote. Wabunge wapo 350 roughly. Embu madokta wapo wangapi kwa mishahara yao wanayodai tupate estimate ya demands ya mishahara tu let alone hayo marupurupu wanayotaka its absurd.

By the way so far hii sector pekee kumbe inachukua almost 8% ya keki ya taifa, tukiongeza na hiyo mishahara na marupurupu kitaifa god knows how much of the cake itaishia kwao ina maana huo mgomo wa walimu ukija na watucta sijui sasa bajeti kazi yake hiwe ni posho na mishahara ya wafanyakazi ya umma, wale walio private wachangie tu na wasitegemee miradi mingine ya serikali how pathetic.

Ni uwenda wazimu kuwatimizia mahitaji na ni upumbavu wa hali ya juu kuwa-support tamaa hawa kama wabunge waliokosa uzalendo. Tofauti ya mmbunge na dokta kwa utamaa ni mmoja ana saini anapitisha malipo yake mwenyewe lakini motive ya tamaa ni same.

Aliyekusanya vingi hakuzidi wala yeye aliyekusanya vichache hakupungukiwa.Sie twamwomba Rab atujalie paji la imani thabiti, tusadiki kwamba Rab anaweza yote na kwake hakuna lisilowezeka.Aliyezoea umbeya na unafiki utamfahamu tu endelea na udini wako .

mwana leo umeenda kanisani huo mstari upo kwenye mojawapo ya somo la leo.....

kikwete aliingia madarakani kwa wizi wa kura mkubwa tu
 
Wewe nawe!!! nyie ndo tunasema wabinafsi sana tena sana, yaani unataka waongezewe mshahara madaktari tu, watumishi wauma wengine wasiongezewe??? fikiri kwanza ndugu.
kila taaluma inaumuhimu wake ndugu hata manesi pale muhimbili wanaumuhimu wao pia, hata makondakta wa daladala wanaumuhimu wao pia ambao wakigoma leo tutaadhirika tu, kinachotofautisha ni kiwango cha adhari.

tatizo la wabongo ni ubinafsi umetujaa tuuu, hatuna uzalendo na upendo, mtu amekaa nyumbani anataka aongezewe mshahara ile hali mwenzie anakufa?? what is this? ndo miiko ya udaktari au ...??

ndo mana wengine waliposoma PCB na nakupata divi 1 form 6 walitafakari kuona mazingira magumu hivyo wakaenda ualimu, uasibu au uanasheria, wakawapa nafasi wengine waliopata div 2 au 3 ili kuondoa usumbufu kama huo. sasa leo iweje ulieenda ulete bughudha kwa wengine?. Serikali lazima iwe na msimamo asiyeweza fanya kazi selikarini atoke halazimishwi??

Ndugu yangu, inaonekanai umejikita zaidi katika "miiko ya udaktari" kuliko hali halisi, kwa sababu tu madaktari eti wana miiko, miiko ambayo ndiyo hutumwa kuwanyongea kila wanapodai haki zao stahili kufuatana na umuhimu wao katika jamii.

"Miiko" my foot! Serikali inayo 'miiko" chungu nzima lakini haiifuati na wananchi wanakufa bila sababu kwa kutoizingatia!
 
Kweli huyu ni mheshimiwa dhaifu, Hotuba ya mwezi mzima suala ni moja tu, wakati yako mengi katika nchi yanahitaji kauli ya kiongozi wa nchi, kalikoroga la madaktari hana jinsi, Waziri wa afya, Waziri Mkuu na mwisho Rais mwenyewe hakuna alie na busara kutatua tatizo la madaktari.

mi mwenyewe nimechoka...yaani mwezi mzima mambo ni mawili tu hili la wasafiri haramu na hili la ulimboka...

kwa nini hazungumzii barua aliyoandikwa na marekani juu ya meli za irani kutumi bendera zetu?
 
[/SIZE]

Mungu wangu hili taifa linaelekea wapi, mbona tumejaza binadamu wenye tamaa sana. Watu wote tunaowapa elimu huishia kujifikiria wao tu. Hivi tutaletewa kweli maendeleo kama wasomi wetu wakisha hitimu ni posho tu ndicho walicho kariri.

I had my reservations towards the doctors demands but after reading them no sane individual will side on them. Eti posho ya risk allowance hivi ni doctor au polisi wa leo anaenda kupambana na maandamano yasio isha yupi anafanya kazi kwenye mazingira ya hatari. Hawa watu ni very selfish na ni tamaa tu.

Sote atukubali malipo ya wabunge na marupurupu yao, na tukiseme tuwaendekeze na madokta nao walipwe vile hii nchi aitakuwa na bajeti ya kufanya kingine chochote. Wabunge wapo 350 roughly. Embu madokta wapo wangapi kwa mishahara yao wanayodai tupate estimate ya demands ya mishahara tu let alone hayo marupurupu wanayotaka its absurd.

By the way so far hii sector pekee kumbe inachukua almost 8% ya keki ya taifa, tukiongeza na hiyo mishahara na marupurupu kitaifa god knows how much of the cake itaishia kwao. Ni uwenda wazimu kuwatimizia mahitaji na ni upumbavu wa hali ya juu kuwa-support tamaa hawa kama wabunge waliokosa uzalendo. Tofauti ya mmbunge na dokta kwa utamaa ni mmoja ana saini anapitisha malipo yake mwenyewe lakini motive ya tamaa ni same.

Unaona eeeh, halafu hawa madaktari na wanaharakati uchwara wanakuja kudanganya eti kwa manufaa ya wananchi.

Mtu akatae kukutibu halafu ajidai kwa manufaa yako? huo ni uzandik wa hali ya juu. Tena waache kazi hawafai kabisa hawa.
 
Kweli huyu ni mheshimiwa dhaifu, Hotuba ya mwezi mzima suala ni moja tu, wakati yako mengi katika nchi yanahitaji kauli ya kiongozi wa nchi, kalikoroga la madaktari hana jinsi, Waziri wa afya, Waziri Mkuu na mwisho Rais mwenyewe hakuna alie na busara kutatua tatizo la madaktari.

Ametoa uamuzi sahihi "anayetaka mshahara na mazingara mazuri kupita uwezo wetu (serikali) atafute sehemu zingine nzuri" period

Amejitahidi kuongeza mishahara kutoka 178,000/- prior to 2005 ambapo alikuwa akiongoza st. nyerere na st. mkapa akafikia 1.2milion na marupurupu mengine..

Ameboresha budget ya afya kupita rais yeyote Tanzania...

Endelea kuimba mapambio ya dhaifu ya chadema..lakini vitendo vyake vinaonekana dhahiri kwa wenye macho wasio wachoyo na wadini
 
Kikwete ni mwanadiplomasia, wanaoelewa lugha iliyotumika ambayo ni diplomatic language anaelewa kwamba rais katoa tamko rasmi la kuwafukuza madaktari waliogoma na kufukuzwa kwenye nyumba za serikali wanazoishi ndani ya saa 24. Kazi hiyo imezanza kwenye hospitali zinazomilikiwa na mashirika ya dini Bugando Mwanza na KCMC Moshi.

Kwa mtazamo wangu serikali haiwezi kuacha mambo yaendelee kama yalivyo, ni lazima uamuzi ufanyike ili kieleweke tuna madaktari au la. Tuwajue madaktari waliopo kazini wanajituma na nani hawako pale kikazi ila kimasilahi.

Uwezo wa serikali umeishia hapo, asiyeweza na afungue virago aende huko anaokoona atapata mafao anayetegemea. Kulipwa milioni 7 kwa mwezi kwa hali ya serikali sasa hapana.

binafs sijui hazina au BoT ina kias gan,,,so siwez kumpinga rais,lakini hizi billions na trillions zinazoishia abroad nazo huenda ikawa ni sosi ya matatizo jaman,,,,,tabaka la wanasiasa na watawala wao ndo wanajiona ndo wateule kwakweli,na kazi zao zinawategemea watu wa kada ya chini,,,,,,,,
 
Haya ndiyo madai ya madaktari na kusababisha mgomo, kuna tofauti gani na malalamiko ya wananchi dhidi ya madai ya wabunge kuongezewa posho kiwango ambacho kinatofautiana mno na watumishi wangine wa umma? Kuwa na kiwango cha juu zaidi kutokana na taaluma yao sishangai, lakini kwa madai haya ni juu mno ukilinganisha na uwezo wa serikali.

mbona serikali inajificha nyuma ya posho na mishahara, madaktari wanachodai ni zaidi ya mishahara, wekeni na hayo madai pia msituletee usanii na kutafuta public sympathy, unafikiri kwa nini viongozi wanatibiwa na kufanyiwa check up nje ya nchi?
 
mi mwenyewe nimechoka...yaani mwezi mzima mambo ni mawili tu hili la wasafiri haramu na hili la ulimboka...

kwa nini hazungumzii barua aliyoandikwa na marekani juu ya meli za irani kutumi bendera zetu?

Unda jeshi ufadhiliwe na mmerakni (liite lord resistance army) ili uwaondoe JK na wafanyabishara kutoka iran, oman, saudi maana una allergy nao..ok
 
Katika hiyo Hotuba atasema Nimewafukuza Madaktari wote kisha nitasafiri Dunia Nzima kuomba Madaktari wa Nje... Na Yeye hausiki kutekwa kwa Ulimboka mkitaka Kjua Kamuulizeni Pinda au Msangi...

kuanzia leo navifungia vyombo vya habari kutoa taarifa yeyote bila kunionesha mie kwanza... Mwisho wananchi tufuate Sheria bila kushurutishwa tuacheni tufanye tujuavyo msitupangie si mlituchagua wenyewe?
 
Ndugu yangu, inaonekanai umejikita zaidi katika "miiko ya udaktari" kuliko hali halisi, kwa sababu tu madaktari eti wana miiko, miiko ambayo ndiyo hutumwa kuwanyongea kila wanapodai haki zao stahili kufuatana na umuhimu wao katika jamii.

"Miiko" my foot! Serikali inayo 'miiko" chungu nzima lakini haiifuati na wananchi wanakufa bila sababu kwa kutoizingatia!

Umemjibu vyema: mbona viongozi serikali wanayo miiko ikiwemo ya kutoiba au kujilimbikizia mali, lakini hawaifuati, na badala yake serikali inakosa hela za kuboresha huduma za afya na kuwalipa madaktari stahili zao. Vigogo nao wanawaua wananchi, though not so directly perhaps.
 
Nampongeza kikwete amefanya uamuzi mgumu tuliotazamia, tunataka watu wenye kujali uhai wa binadamu kuliko wanaotanguliza masilahi yao kwa kuwekea rahani uhai wetu.

unajua hata wale wasioleta vitendea kazi hospitali nao pia wanaweka rehan uhai wetu,,,,,me huwa naenda mhimbili,kule fast track,kuna wakat duka lao la dawa huwa halina hata dawa ya ngozi,,,na si mara moja sasa,,,,,huko ndio unazinunua huduma zote
 
Haki ya nani hakuna Rahisi ta.ahira kama huyu wa kwetu! Hasara tupu! Na hivi na wananchi katuona mataahira tutakoma. Rais gani anatoa majibu rahisi rahisi utafikri halina kichwa?! Naona huyu ananitafutia BAN tena huyu. Na nyie Mods si mtuache tumgombeze kidogo. Yaani kama una baba la mfano huu unaomba kuhamia kwa jirani! Nyamb..ff!
 
Kazi ya muda mfupi ni tofauti na kazi ya masiaha inayochukua maelefu ya watumishi, jaribu kutofautisha kdigo utaona.
Mkuu tuachane na mishahara kuna la uboreshaji wa huduma kwenye vifaa mbona hajajibu na hilo ndo linatuhusu sana watz!
 
mbona serikali inajificha nyuma ya posho na mishahara, madaktari wanachodai ni zaidi ya mishahara, wekeni na hayo madai pia msituletee usanii na kutafuta public sympathy, unafikiri kwa nini viongozi wanatibiwa na kufanyiwa check up nje ya nchi?

kwa sababu ya huduma DHAIFU ZA LIWAKO NA LIWE(XAMPLE KUKOSA CT SCAN)
 
Unda jeshi ufadhiliwe na mmerakni (liite lord resistance army) ili uwaondoe JK na wafanyabishara kutoka iran, oman, saudi maana una allergy nao..ok

ataondoka tena kwa aibu sana...anakuja na hotuba yenye kutaka huruma ..hkuna haja ya kuunda jeshi limuondoa ataondoka yeye tu
 
he is a failure leader hafai hata kidogo analete bifu za mtaani kwenye jambo lamaana kama hili anafikiri ni bongo movie wanaetafuta sterling, hata nchi kubwa kama marekani wasingethubutu ku treat madaktari wao tena wa public sector kama huyu mtu anavyotaka kuonesha, hiii kw amtu mwenye akili anajua kwamba with or without kumuua ulimboka inatosha tena sana kuondoa serikali yake madarakani, na hapa ndipo napomuona lowasa muoga let him come out now atangaze kutokubaliana na serikali inavyohandle swala la madaktari, hata mimi nisiyekkubaliana na wizi wake ntakua upande wake, maana pesa alizoiba zinaweza kurudi lakini sio wagonjwa wanaotiririka kufa kama sisimizi mahospitalini na sisi tunamuangalia tu huyu ****** akicheza makida makida, mapinduzi yanataka uongozi, na huu ndi muda wa lowasa kutuonyesha tofauti ya yeye ni huyu boys to men, tulipofika Tanzania inataka kiongozi jasiri, Lowassa haihitaji CCM isipokua CCM inamuhitaji lowasa huu ndio ukweli, hakuna amri ya kukamata itakayotekelezeka juu ya Lowasa come out now Morani man ili Tanzania ipone humiuhitaji kikwete wewe kutafuta urais, show us the difference today, tunataka action kwa sasa toka i am telling you utakua musa wa Tanzania leo, Ulimboka could be fred wako ama any of those young people unaojua hawana makosa wanaingizwa kwenye haya kwa kuwa JK hana uwezo ni DHIFUEST MARA ELFU, come out now I am challenging you uone mungu atakavyokuinua na jeshi kubwa la wananchi litakavyokupokea huhitaji chama kuwa kiongozi,na huhitaji urais kuwa shujaa, do it now historia itakuandika soma hii hotuba ya kuandikwa na wakina michuzi na premy na Kim Kimbanga ndio utaelewa tuna deal na kituko gani
 
mbona serikali inajificha nyuma ya posho na mishahara, madaktari wanachodai ni zaidi ya mishahara, wekeni na hayo madai pia msituletee usanii na kutafuta public sympathy, unafikiri kwa nini viongozi wanatibiwa na kufanyiwa check up nje ya nchi?

Rejea hotuba ya Rais ameainisha madi yote ambayo madaktari walikuwa nayo dhidi ya serikali na nini serikali ilikubaliana na yapi serikali haikuwa tayari kutekeleza sababu ya kuwa nje ya uwezo wake. Tunachezea uhai wa binadamu badala ya kutanguliza wajibu wa huduma kwanza. Mataifa mengine madaktari wangefunguliwa mashtaka ya kuua raia hospitalini kwani ni kinyume cha kiapo cha utumishi wao kwa uhai wa binadamu.
 
Back
Top Bottom