Bwana Mwenye Kiti, nataka kuongeza neno langu moja kuunga mkono wale waliokwisha toa ombi hili, nami nafurahi kuona kwamba ombi hili lilitolewa na Rais wa Ghana, kwamba tufikirie kwa makini kabisa uwezekano wa kugawanya baadhi ya viwanda kwa kufuata hali ya Kontinenti letu, au, japokuwa kwa kufuata majimbo. Jambo hili litatuwezesha kujifaidia kwa biashara inayofanywa na watu millioni 250 wa Afrika, biashara ambayo sasa inawafaidia watu wengine; na hasa watu walio matajiri zaidi katika ulimwengu.
Mbona kama alikuwa ana mkubali Rais wa Ghana Kwame Nkrumah,
By then Africa nzima watu walikuwa milioni 250 tu, leo hii Nigeria pekee yake hapatoshi 😳 😎
Mbona kama alikuwa ana mkubali Rais wa Ghana Kwame Nkrumah,
By then Africa nzima watu walikuwa milioni 250 tu, leo hii Nigeria pekee yake hapatoshi 😳 😎