KIGENE
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,552
- 813
Mkuu wanaenda kwenye mishemishe zao,wengi wao wanaweza kutibiwa hapa lakini hiyo ni njia mojawapo yakujiongezea kipato.Wa dau Naomba ieleweke kuwa mgonjwa anayepelekwa nje ya.Nchi Kwa matibabu huwa wamwahindwa Kupona hapa ndani na Yupo hoi akihitaji kwenda kutibiwa nje ya Nchi . Iweje Kwa Lukuvi tuliueaminishwa kuwa kakatizwa safari ya kwenda matibabu India ili Aje atoe Ufafanuzi Kwa aliyotamka Kanisani....cha ajabu mgonjwa Huyo mbali na kuvunja kanuni katika Kuzingatia muda huku mwenyekiti akinyamaza kimya ameonekana akina na Afya njema sana
Nisaideni kujua Wana siasa wetu huenda nje kutibiwa nini?..,,
Hukumbuki issue ya mke wa Hans Kitine alivyoleta risiti bandia naakalipwa na serikali kwa matibabu ambayo ilibainika baadae kuwa hayakufanyika huko Ughaibuni.