Hotuba ya Lema Bungeni - Mei 15, 2014

Hotuba ya Lema Bungeni - Mei 15, 2014

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
8,652
Reaction score
2,642
Wanabodi

Spika Makinda ameanza kuwatambulisha wakubwa wa polisi akiwemo IGP Mangu,Kamishna wa Magereza na wengineo.

Hii inaonyesha kuwa bajeti ya wizara ya mambo ya ndani itasomwa punde.

UPDATE 1_________
..Anaanza Waziri wa Mambo ya Ndani Mathias Chikawe kuwasilisha bajeti.

UPDATE 2_______
..Ni saa 19:49 usiku Chikawe anamaliza kuwasilisha hotuba ya bajeti kwa taabu kutokana na tatizo la umeme kukatikakatika bungeni..

Lema atawasilisha bajeti kivuli kesho asubuhi.
 
una hamu na lema sana ee?? naona umezidisha mahaba
 
hii mada ni ya kizushi....iliyoko live ni hotuba ya waziri wa mambo ya ndani sio ya lema acheni uhuni
 
Lema, lissu na mnyika ni sawa na wabunge wote wa ccm!
 
Ccm ni chama chakavu. Lema kamanda wangu....
 
Sio rahisi kusomwa leo kwakuwa muda wa kuhairisha bunge umekaribia. Huenda hata hotuba ya kamati nayo ikasomwa kesho!
 
nipo na rafiki zangu wa uhamiaji wana msubiri kamanda Lema kwa hamu sana...akika kamanda ana kubalika!
 
TBC wanaanza kuonesha dalili kuwa hawatamuonyesha mh Lema naona matangazo yaanza kukatika mda huu Chikawe akiwa anahutubia ikifika kwa Lema itakatika kabisa hii tbccm bhana!
 
Back
Top Bottom