DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
- Thread starter
- #21
TBC wanaanza kuonesha dalili kuwa hawatamuonyesha mh Lema naona matangazo yaanza kukatika mda huu Chikawe akiwa anahutubia ikifika kwa Lema itakatika kabisa hii tbccm bhana!
Kweli,TBC imeanza kwikwi..
Aminia Kamanda Millya,hongera kupata jiko,sema hujanialika.