Afadhali kuna watu wenye uwezo wa kusoma na.kutambua kama ww Pongezi mkuu umeelewa nilimanisha nnLISU kachemka jana... Sijaona ata hoja ya kujibiwa ya LISU... Analaumu mpaka kuwajibisha Watendaji.. Jana tumeona Meya wa kinondoni kupitia baraza la Madiwani wamesimamisha watendaji, nimeona ukawa wakimsifia, lengo wafia Siasa, ni kua serikali ya CCM ISICHUKUE Hatua, ili wailaumu, na ikichukua Hatua wanalaum
Rais Magufuli husigeuke nyuma, endelea kukaza kamba, maana lengo la wapinzani usichukue Hatua alafu waje waseme, CCM inalea ufisadi
Yaani tatzo nyinyi mahaba..sasa Lissu kupata updates za haraka hivyo yeye anafanya kazi mahakamani..ndo maana nyie mnaamini kila anachosema uyo..kila mtu anaweza pata updates haijalishi ni naniKumbe umesoma kwenye gazeti na wewe unaamini kuwa hajastaafu kwani wiki moja iliyopita ulikuwa mbele yake.Muda wa wiki moja ni mrefu na lolote lingewezekana kutokea bila wewe kujua.Hata hivyo kati yako na Lissu ni yupi anaeweza kuwa na taarifa sahihi za mahakama kuu?(up todate records)
Kwahiyo hayo majipu unashauri waende mahakamn? Kilaza sana mkuu..ila usjari bila ww wengne tusingeonekana wa maanaNaona porojo tu hapa,lissu alikua anawasilisha hotuba ya upinzani kama waziri kivuli wa sheria na katiba!sasa mleta mada na comment zako za kijinga,ulitaka lissu azungumzie maji au umeme bungeni wakati anawasilisha hotuba ya katiba na sheria?Mbona mnajitoa ufahamu kiasi hiki?Ulitaka afumbie macho ukiukwaji wa sheria ndio mfurahi?Mi siwaelewi mnataka nin?Alichosema kina uwongo?
Nilishawaambia kichwa cha Ilboru-UDSM-Warwick sio mchezo. Sasa mtoa hoja Primary umerudia shule karibu wilaya zote, sekondari ya miaka minne ww umesoma miaka karibu saba unahama shule tu, A level hiyo hukupita kabisa umeunga unga vyuo vya kariakoo wee mpaka basi, chuo ukapiga kitu cha AMAZON college sasa utamwelewaje Lissu? haiwezekani. Tuache sis tunaomwelewa.
Umeua mkuuNilishawaambia kichwa cha Ilboru-UDSM-Warwick sio mchezo. Sasa mtoa hoja Primary umerudia shule karibu wilaya zote, sekondari ya miaka minne ww umesoma miaka karibu saba unahama shule tu, A level hiyo hukupita kabisa umeunga unga vyuo vya kariakoo wee mpaka basi, chuo ukapiga kitu cha AMAZON college sasa utamwelewaje Lissu? haiwezekani. Tuache sis tunaomwelewa.
Msomi usiye na kazi na nina imani GPA yako itakuwa imepita grade tunanozijua labda ya 7.0Nilishawaambia kichwa cha Ilboru-UDSM-Warwick sio mchezo. Sasa mtoa hoja Primary umerudia shule karibu wilaya zote, sekondari ya miaka minne ww umesoma miaka karibu saba unahama shule tu, A level hiyo hukupita kabisa umeunga unga vyuo vya kariakoo wee mpaka basi, chuo ukapiga kitu cha AMAZON college sasa utamwelewaje Lissu? haiwezekani. Tuache sis tunaomwelewa.
Umesema kweli tupu. Wanasheria wengi utazama midomo ya maboss wao kabla ya kufanya maamuzi. Boss akinuna anabadilka na kutoa hukumu au statement tofauti. Angalia mfano Chenge kwa sababu ya ulafi wake mwenyewe na baadhi ya washirika wake, anashiriki kuifungishia nchi yake mikataba tete na ya kuiuza nchi yake ilmradi yeye na wachache wenzake wananufaika.Ni dunia nzima.
Ngoja waje kukujibuHii haswa ni hatari kwa mwanasiasa anayetegemewa na vichwa vya wanachama wake zaini ya MILION wa UKAWA..
_Imefika wakati wanashindwa kujua ni nini dhamira ya chama hicho kilocho panda chart kwa KUPINGA UFISADI lakini kwa sasa wapo DILEMA
_Imefika wakati sasa LISSU amekuwa kama MC(MSEMA CHOCHOTE) na soon atakuwa kama MOURINHO msema.....kila dakika anafosi kuongea lakini kila akiongea lazima apinge tu..LAKINI hajawahi kuleta hoja kupinga maswala ya KIUCHUMI kila siku yeye na serikali kwani ni mbunge wa jimbo la MAGOGONI??
_IMEfika wakat tumekubali kuwa Lissu ameishiwa hoja lakini sasa anashindwa kukaa kimya kwa maana anaitaji Mailage kubwa kisiasa though amekuwa sio mjenga hoja amekuwa kama watu wa kigoma MBISHI