Tuambi
Tuambia cha uongo alichokisema Lissu. Tunataka kujua.Hii haswa ni hatari kwa mwanasiasa anayetegemewa na vichwa vya wanachama wake zaini ya MILION wa UKAWA..
_Imefika wakati wanashindwa kujua ni nini dhamira ya chama hicho kilocho panda chart kwa KUPINGA UFISADI lakini kwa sasa wapo DILEMA
_Imefika wakati sasa LISSU amekuwa kama MC(MSEMA CHOCHOTE) na soon atakuwa kama MOURINHO msema.....kila dakika anafosi kuongea lakini kila akiongea lazima apinge tu..LAKINI hajawahi kuleta hoja kupinga maswala ya KIUCHUMI kila siku yeye na serikali kwani ni mbunge wa jimbo la MAGOGONI??
_IMEfika wakat tumekubali kuwa Lissu ameishiwa hoja lakini sasa anashindwa kukaa kimya kwa maana anaitaji Mailage kubwa kisiasa though amekuwa sio mjenga hoja amekuwa kama watu wa kigoma MBISHI