Hotuba ya Kambi Rasmi Bungeni, Wizara ya Katiba na Sheria

ilibidi kwanza usome hotuba ya LIsu harafu uelewe maudhui then uje na hoja yako.

Kama umesoma hotuba ndio ukaandika pumba hizi basi utakuwa una upingufu fulani, kama hujasoma itafute imo humu ila wapotoshaji wanao tumia weakness ya akili ndogo ya majority ya watanzania wanawaburuza.
Mkuu usitoke povu kwa kitu kidogo ambacho unaweza kueleweshwa hata na mtoto wa darasa la pili.Tambua nyakati sio kila kitu lazima uwe against kisa umeona jina na Mtu uliye na mahaba naye..namjua lissu nadhan kipindi upo Sekondari.naandika nachokijua
 
Lissu ni kiboko aisee jamaa ananikosha sana jinsi anavojenga hoja tena kwa mifano na vifungu vya sheria
 
Kwanza kabla ya kuhoji kwanini hatoi hoja ya kupinga maswala za kiuchumi,unajua taaluma ya Lissu?
Yeye hoja zake zipo katika sheria aliyobobea.
Haya sasa,rudi ukaandike thread nyingine maana nimeshakupa mwanga.
Acha kukurupuka,usidhani hoja zinajengwa kimasikharamasikhara tu.
You still need 10 year of empowerment ili muweze kutambua mambo (weman decade) nadhani mkuu ikiisha mtakuwa watambuzi wazuri
 
MPO KWA AJILI YA KUPONDA SIJUI MPOJE kobe akiinama anatunga sheria chadema ipo hai na itaendelea kusimama daima
Issue sio kuwa chadema haita stand..the question is "itasimama wapi na itasimimia nini? " kama wanajikweza kwa majipu??
 
Ifike mahali sasa moderators wawe wanazipitia threads zinazoanzishwa humu na kujiridhisha Kwanza. La sivyo thread kama hii ni kuizalilisha Jf. Maana watu wengine wameshajidhailisha tokea kwenye familia zao
 
Nilishawaambia kichwa cha Ilboru-UDSM-Warwick sio mchezo. Sasa mtoa hoja Primary umerudia shule karibu wilaya zote, sekondari ya miaka minne ww umesoma miaka karibu saba unahama shule tu, A level hiyo hukupita kabisa umeunga unga vyuo vya kariakoo wee mpaka basi, chuo ukapiga kitu cha AMAZON college sasa utamwelewaje Lissu? haiwezekani. Tuache sis tunaomwelewa.
 
Ifike mahali sasa moderators wawe wanazipitia threads zinazoanzishwa humu na kujiridhisha Kwanza. La sivyo thread kama hii ni kuizalilisha Jf. Maana watu wengine wameshajidhailisha tokea kwenye familia zao
Ukiunda Sambarai Forum utafanya Hivyo ila Sio JF i wish watu wwnye mahaba kama ww mngekuwa hampo humu baai Great thinkers tungeenjoy FACTUAL ARGING sasa ndo mpoo kila kufikiria mnatumia akili za walioko bungeni...hata mkiambiwa mjenge hoja hamwezi mnasubiri mkalilishwe na LISSU
 
Hawa ngedere wa kijani shida kweli kweli, wamekaririshwa vitu wasivyoviamini lakini kwa sababu ya njaa wanajiropokea tu ili wadake buku 7 yao.
 
Hawa ngedere wa kijani shida kweli kweli, wamekaririshwa vitu wasivyoviamini lakini kwa sababu ya njaa wanajiropokea tu ili wadake buku 7 yao.
Kuna watu wana akili kama yako kweli humu JF? NGOJA Nisubiri hapa chini labda watakuwepo
akili ndogo mno..soma kwanza utakuwa kidogo na uwezo wakujua baya na zuri sio kukariri
 
Mimi ni mfuasi wa Lisu ila kwa leo nimesoma gazeti mwananchi kuwa eti Jaji Mkuu astaafu kwa vile Jaji Masati waliosoma wote alishastaafu kitambo ni uongo. Ni wiki moja hivi iliyopita nilikuwa mahakama ya rufani mbele ya Mh. Jaji Masati.
Unaweza kustaafu,na bado ukaendelea kufanya kazi kwa "Mkataba"...Hii haikuondolei sifa yako ya "Ustaafu"
Endelea kumuheshimu tu Lissu...Maana hata hili ulilotaka kulitumia kumshusha heshima,inaonekana huna taarifa nalo za kutosha
 
LISU kachemka jana... Sijaona ata hoja ya kujibiwa ya LISU... Analaumu mpaka kuwajibisha Watendaji.. Jana tumeona Meya wa kinondoni kupitia baraza la Madiwani wamesimamisha watendaji, nimeona ukawa wakimsifia, lengo wafia Siasa, ni kua serikali ya CCM ISICHUKUE Hatua, ili wailaumu, na ikichukua Hatua wanalaum

Rais Magufuli husigeuke nyuma, endelea kukaza kamba, maana lengo la wapinzani usichukue Hatua alafu waje waseme, CCM inalea ufisadi
 
Mimi ni mfuasi wa Lisu ila kwa leo nimesoma gazeti mwananchi kuwa eti Jaji Mkuu astaafu kwa vile Jaji Masati waliosoma wote alishastaafu kitambo ni uongo. Ni wiki moja hivi iliyopita nilikuwa mahakama ya rufani mbele ya Mh. Jaji Masati.

Kumbe umesoma kwenye gazeti na wewe unaamini kuwa hajastaafu kwani wiki moja iliyopita ulikuwa mbele yake.Muda wa wiki moja ni mrefu na lolote lingewezekana kutokea bila wewe kujua.Hata hivyo kati yako na Lissu ni yupi anaeweza kuwa na taarifa sahihi za mahakama kuu?(up todate records)
 
Back
Top Bottom