Mtaka Haki
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 492
- 149
Ninawaomba wenye hekima katika masuala ya hotuba msaidie katika kuandika Hotuba ya JK ya kukubali kushindwa mimi nitatafuta njia ya kumpelekea sio kwa kumkejeli bali kwa nia ya kumtia moyo kutokana na ujasiri na ushujaa utakaoonekaka katika hotuba hiyo.
Kwa kawaida nafasi ya urasi ndiyo nafasi ya juu kuliko zote. Pia ni matarajio makubwa kwa mgombea yeyote aliyeshika kwa kipindi kimoja tu kutamani aongoze hadi kipindi cha pili ambacho ni ukomo wa kugombea.
Ni maumivu makubwa endapo aliyekuwa rais anashndwa katika uchaguzi. Kuna hali tete hujitokeza. Hajui atakayechukua urais atamweka katika hali gani? Kuna suala la fedha nyingi za kampeni zinazokuwa zimepotea.
Naomba suala hili lisichukuliwe kimchezo. Kuna ugumu mwingi na mwingine siwezi kuutaja hapa yaani ugumu mkubwa zaidi.
USHAURI WANGU.
Naomba tusaidiane kuandika hotuba mzuri moja ya Dr. Slaa na moja ya Rais wetu mpendwa anayeondoka madarakani.
Katika hotuba hiyo mambo yafuatayo yazingatiwe kwa hotuba za wote wawili.
1. Demokrasiailivyo na mapana yake.
2. Heshima kwa wapiga kura na ulimwengu wa mabadiliko
3. Shukrani kwa waliosimama naye.
4. Ahadi ya ushirikiano na serikali inayokuja
5. Shukrani mbalimbali
6. Ushindi wa umoja wa kitaifa, ushindi wa amani ushindi wa udugu kwa kukubali matokeo.
7. Msamaha kwa mengi mabaya yaliyofanywa na kusemwa dhidi yake.
8. Matamanio ya wananchi sio chuki binafsi dhidi ya yeyote ni wakati tu wa mabadiliko.
NAOMBA MSAADA WENU.