junky
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 413
- 976
Mwaka 1992 Lt.Hugo Chavez alijaribu kufanya jaribio la mapinduzi kumuondoa rais Andre Carlos Perez madarakani lakini alikamatwa na wana usalama baada ya watiifu wa Rais Carlos Perez kuzima mapinduzi yale.wana usalama wakimshikilia Chavez
Hugo Chavez akiwa jela
Mwaka 1994 Hugo Chavez aliachiwa huru na kufutiwa mashitaka baada ya Rais Perez kuondoshwa madarakani kwa amri ya mahakama sababu ya ufisadi wa 250Million bolivars aliyokutwa nayo.
Chavez ambaye alikuwa director wa movimento Bolivariano revolucianor 200,jina ya taasisi imetokana na simor Bolivar shujaa aliyeondoa utawala wa kispaniola Venezuela na S.America kwa ujumla na Bolivariano revolucianor ndio waliojaribu kufanya mapinduzi mara mbili ilo kubadilisha mfumo wa kiutawala na kiuchumi wa Venezuela lakini walifeli lakini 1999 waliweza kuingia madarakani kwa njia ya kura ,alivyotoka jela alistaafu kazi ya jeshi akiwa mdogo na alielekea Cuba na kutoa speech kwenye chuo cha Havana.
Speech hiyo ilimliza Fidel Castro