Hotuba iliyoleta mapinduzi Gabon

Your browser is not able to display this video.

Wakwetu wanajua kuvunja matofali na kutesa raia wanaovaa sare zifananazo na za kwao

 
Bado Tanzania
 
Mimi tangu JWTZ waizunguke Zanzibar kumlinda Jecha kuipindua matokeo kwa Maalim Seif niliwaondoa maana kabisa.
 
Msisimamie haki, bali simameni kuhakikisha haki inatangazwa pale inaposhinda.

Kama Gabon itaendeshwa kwa haki usawa na hofu ya Mungu. Kila mtu wa taifa hili atajihisi yupo paradiso."
Sio Gabon tu, Hata nchi zingine zapaswa kufanya hivi, Angalia mfano........ (Ngoja niishie hapa)
 
Naamini hata wa kwetu wamejifunza jambo. Maana tunao humu humu. Kile kinachojiita chama dollar ya america kijiangalie sana. Mliyoyafanya 2019 serikali za mitaa na 2020 general election yanajulikana. Siyo kila siku bunduki zitasimama upande wa uovu, siku moja bunduki zitahakikisha haki inatangazwa na haki isipotangazwa msije nilaumu kwa kunikana kwamba sikuwaambia wakati nimewaambieni tayari.
 
Mimi nashangaaga, hivi polisi huwa wanarogwa vipi kiasi nchi yao inauzwa halafu wao wao tena wanabambikia watetezi wa nchi kesi za uhaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…