Hotspot shield inamatumizi gani?

Hotspot shield inamatumizi gani?

PCGAMES

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
802
Reaction score
1,192
Naomba msaada (ufafanuzi) namna ya kutumia hotspot shield elite kwenye Windows PC. Na je, ninaweza kutumia unlimited bandwidth na kama inawezekana ni kwa vipi? Ningependa nipate full datails kuhusu hii kitu.

Ahsante.
 
Nikigoogle kiingereza hakipandi.
 
sasa kama hujui ni ya nini kwanini unataka kuitumia

Naitaji ufafanuzi zaidi hasa kuhusu hiyo unlimited internet namna inavyofanya kazi. nimesoma kwenye baadhi ya mitandao wakisema unaweza kutumia internet free baada ya kuilipia na kupata full virsion soft.

Sasa sifahamu hasa namna inavyofanya kazi kiundani kuhusu net. yapo mengi yanayofanywa na hiyo software kama vile ulinzi wa pc yako kimtandao na kujikinga dhidi ya malware. lakini naitaji nijue zaidi kuhusu internet bandwidth.
 
Naitaji ufafanuzi zaidi hasa kuhusu hiyo unlimited internet namna inavyofanya kazi. nimesoma kwenye baadhi ya mitandao wakisema unaweza kutumia internet free baada ya kuilipia na kupata full virsion soft.

Sasa sifahamu hasa namna inavyofanya kazi kiundani kuhusu net. yapo mengi yanayofanywa na hiyo software kama vile ulinzi wa pc yako kimtandao na kujikinga dhidi ya malware. lakini naitaji nijue zaidi kuhusu internet.

Hapana huwezi tumia internet bure huo ni uwongo unless kuwe na upenyo kwenye mtandao ambao hutokea kwa nadra wakijichanganya wenyewe wenye mtandao.

Kuhusu ulinzi inakupa ndio ila watakuekea matangazo kila kona na kama una internet yenye mb chache itaisha mara moja sababu jamaa wana matangazo hadi ya video.

Kama huna matumizi yoyote ya VPN achana nao hawana issue, ila kama utahitaji VPN ya bure jamaa hawana mpinzani.
 
Nimekuelewa mkuu.
 
Back
Top Bottom