Hotmix! Eatv...

Hotmix! Eatv...

kudaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa twendeni jukwaa la mapenziziiiiiiiiiiiiii
 
Hahahah mi namjua size yake ngoja nimwite sasa hivi atatulia huyu...
hahahahahaha..bold black...umenichekesha kama unanijua basi na wewe nakujua?...bold ya bluu unamtafutia matatizo huyo dogo...Francis Cheka mwenyewe ananikimbia..labda Sempai Gola
 
Nilikua town kwenye mishe mishe..nikapigiwa simu kwamba kuna uzi umeanzisha jukwaa hili..nikafika nikautafuta..sina haja ya kujiuliza na kujijibu maswali eti promo..aina ya kazi yangu nikitaka kujipigia promo si shindwi..si kila mtu anataka sifa kama unavodhani! hua nachukizwa sana na majibu ya aina yako..get busy..fanya yako mzee, si kila uzi lazima uchangie kwa kua upo JF! acha kutumia umeme wa ofisi kufanya umbea..ushamba tu!

...Si kila mtu ni Muajiriwa Kijana. Kuna akina sisi ambao ni wakulima tu Shamba huku na kuingia JF ni Burudani tu.

Kwa maneno ya Aina hiyo uliyotumia ambayo kwa uelewa wangu hutumiwa na waimbaji wa Mipasho na 'Vidole Juu' tu inaonyesha jinsi ulivyoguswa na jinsi usivyoweza kuhimili critism.

Kwa majibu ya Aina ya Uliyoandika itakuchukua muda mrefu sana kufikia Sifa ambazo umejipigia Promo kuwa nazo na hii ni kama pia Muajiri wako bado atakuwa tayari kuendelea na mfanyakazi ambaye yuko sooo quick to throw words at someone ambaye wametofautiana naye kiddogo tu!!!

Lastly, ulilitafakari hilo neno la kwanza kabisa la mchango wangu la 'Labda'????
Ubarikiwe.🙂

hahahahaha...si mzingui bhana...kijana wng huyo...

adrian anafanya poa sana jamani, watangazaji wengi huwa wanafelishwa na aina ya mahojiano wanayo fanya ila kijana huyu yuko juu sana...Natamani apewe nafasi ya kumtwanga maswali Rais JK hapo mtakubali... hoja, sera na makashfa yote ya nchi hii inayajua hyu dogo sipati picha Big up Adtian
 
...Si kila mtu ni Muajiriwa Kijana. Kuna akina sisi ambao ni wakulima tu Shamba huku na kuingia JF ni Burudani tu.

Kwa maneno ya Aina hiyo uliyotumia ambayo kwa uelewa wangu hutumiwa na waimbaji wa Mipasho na 'Vidole Juu' tu inaonyesha jinsi ulivyoguswa na jinsi usivyoweza kuhimili critism.

Kwa majibu ya Aina ya Uliyoandika itakuchukua muda mrefu sana kufikia Sifa ambazo umejipigia Promo kuwa nazo na hii ni kama pia Muajiri wako bado atakuwa tayari kuendelea na mfanyakazi ambaye yuko sooo quick to throw words at someone ambaye wametofautiana naye kiddogo tu!!!

Lastly, ulilitafakari hilo neno la kwanza kabisa la mchango wangu la 'Labda'????
Ubarikiwe.🙂

Schizophrenia at work!
 
ivi uyu dogo adrian bado anapaka curl kit kwenye nywele??mie bana wanaume wenye tabia za kujiremba wala siwafagilii nawachukulia kama mabwabwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom