Hotmix! Eatv...

Hotmix! Eatv...

adrian anafanya poa sana jamani, watangazaji wengi huwa wanafelishwa na aina ya mahojiano wanayo fanya ila kijana huyu yuko juu sana...Natamani apewe nafasi ya kumtwanga maswali Rais JK hapo mtakubali... hoja, sera na makashfa yote ya nchi hii inayajua hyu dogo sipati picha Big up Adtian
kupitia JF
 
Aliyenichekesha ni mwampamba et akasemj hela zakusafisha barabara zililetwa na obama mwenyewe, kwel ccm inaviongoz uchwala
 
Wamuite mwigulu atwambie mbona cku hizi hatoi movie? Au vp second hand!
 
Wamuite mwigulu atwambie mbona cku hizi hatoi movie? Au vp second hand!

hivi ile movie ya ugaidi ya lwakatare iliishia wapi jamani,maana hili movie la sembe limeshika hatamu sasa kama series ambayo ina endless epsiodes
 
Miye ni mfuatiliaji mzuri wa kipindi cha hotmix Eatv; ni kipindi kizuri cha habari mchanganyiko kikiongozwa na kijana adrian. Ninavutiwa sana 'interview' katika kipindi hicho; maswali ambayo anawahoji wageni yanakuwa technical au magumu ambapo yanatoa changamoto kubwa kwa wageni (kama awajajipanga vizuri). Nakumbuka kuna siku ambaye alikuwa naibu waziri wa uchukuzi alimwambia backround: "kijana una maswali magumu" .Wageni kadhaa wameumbukaaaa.... Teh teh teh

M.A.P Adrian Stepp
 
Lini mkuu imetokea???
1744283500480.png
 
Miye ni mfuatiliaji mzuri wa kipindi cha hotmix Eatv; ni kipindi kizuri cha habari mchanganyiko kikiongozwa na kijana adrian. Ninavutiwa sana 'interview' katika kipindi hicho; maswali ambayo anawahoji wageni yanakuwa technical au magumu ambapo yanatoa changamoto kubwa kwa wageni (kama awajajipanga vizuri). Nakumbuka kuna siku ambaye alikuwa naibu waziri wa uchukuzi alimwambia backround: "kijana una maswali magumu" .Wageni kadhaa wameumbukaaaa.... Teh teh teh
Tuonyeshe Mfano!
 
Hakuna madhara kusifia au kukosoa mtu,kila mtu jinsi anavyoona inafaa kwake,nzuri kwako,mbaya Kwa mwingine,ila Kwa hoja zenye mashiko!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom