Second hand
Member
- Jan 20, 2013
- 72
- 7
Miye ni mfuatiliaji mzuri wa kipindi cha hotmix Eatv; ni kipindi kizuri cha habari mchanganyiko kikiongozwa na kijana adrian. Ninavutiwa sana 'interview' katika kipindi hicho; maswali ambayo anawahoji wageni yanakuwa technical au magumu ambapo yanatoa changamoto kubwa kwa wageni (kama awajajipanga vizuri). Nakumbuka kuna siku ambaye alikuwa naibu waziri wa uchukuzi alimwambia backround: "kijana una maswali magumu" .Wageni kadhaa wameumbukaaaa.... Teh teh teh