Na ukiona mpokea mshahara anafanya hayo ujue kuna dalili hapati stahiki zake vzuri na kwa wakati lakin pia huenda wanapitia mazingira magumu sana ya kaziWanaoongoza kwa jeuri na maringo siku zote ni waaajiriwa....
Sio maofisini, Safarini, mahotelini..
Mhusika mwenyewe hana hizo mambo, nenda kwa mpokea mshahara sasa.
Tatizo la waajiriwa ni kulipwa mshahara badala ya kamisheni. Mtu angelipwa kamisheni, angeheshimu sana kazi. Mshahara unafanya watu wawe wavivu na wenye viburi.Wanaoongoza kwa jeuri na maringo siku zote ni waaajiriwa....
Sio maofisini, Safarini, mahotelini..
Mhusika mwenyewe hana hizo mambo, nenda kwa mpokea mshahara sasa.
Sasa kama Unaendelea si ulipe kabisa siku zote utakazokaa? Au uwe unalipia Kila siku.Ulitaka ukope kijanja halafu utokomee gizani pesa Yao wangepata wapi? Lipa kabisa ndio ulale siku husikaMimi naandika haya ambayo nimetendewa na nimeona hii ni fursa ya kuwasilisha dukuduku langu mojawapo
[*]Kudai pesa kila siku hata kwa mteja anayeendelea
Mhusika akishindwa kuwasimamia wafanyakazi basi yeye ndiye anapaswa kulaumiwa. Asijifiche kwenye kile kivuli ambacho watanzania tumezoewa kusikia.... ''rais anaangushwa na wasaidizi wake.. ''.Wanaoongoza kwa jeuri na maringo siku zote ni waaajiriwa....
Sio maofisini, Safarini, mahotelini..
Mhusika mwenyewe hana hizo mambo, nenda kwa mpokea mshahara sasa.
Mkuu kuna mengine. Tanzania huduma kwa wateja ni majanga. Nenda popote. Hata mfanyakazi alipwe nini, ila tumeshajijengea utamaduni wa kudharau wateja. Nadhani hii ilianza kipindi cha ujamaa wakati vitu vilikuwa vimeadimika na huduma nyinge zikiwa zinatolewa na serikali na sekta zake. Bado hujaweka tatizo jingine la wizi na uvivu.Tatizo la waajiriwa ni kulipwa mshahara badala ya kamisheni. Mtu angelipwa kamisheni, angeheshimu sana kazi. Mshahara unafanya watu wawe wavivu na wenye viburi.
Mtanzania hata umpe mafunzo mpaka mbinguni, kwenye huduma kwa wateja ni sifuri.Tatizo ni kuajiri watu wasiopitia mafunzo ili walipwe kiduchu kumaximize faida
Wapo walio vizuri mkuu, ila wengine ni vichomi.Mtanzania hata umpe mafunzo mpaka mbinguni, kwenye huduma kwa wateja ni sifuri.
Wabongo wanapenda ubahiri kwenye biashara wakiamini ndio kufanya maximization of profit.Tatizo ni kuajiri watu wasiopitia mafunzo ili walipwe kiduchu kumaximize faida
Sio kweli mkuu,mtanzania ni hard worker ila tatizo hawa employers wengi ni mafedhuli, na wakati mwingine hawa ma HRs wetu ni vibaraka na roho mbaya, wakati DSM Sheraton Hotel wanaendesha ile hotel pale, kulikua na zaidi ya 260 staff's, ILA wote walikuwa level moja,GM alikua anakula kwenye staff canteen, hii ilileta kitu tofauti kwa staff's, ndio maana services pale ilikua top class, lakini sasa mafisadi yanapiga hela, kila baada ya miaka 5 eti kuna mwekezaji mpya!!!Mtanzania hata umpe mafunzo mpaka mbinguni, kwenye huduma kwa wateja ni sifuri.
Of course wapo wazuri kwa sababu nchi haiwezi kuwa na watoa huduma wabaya wote, ila ukichukulia kwa ujumla, ni kwamba customer care ya Bongo ni mbaya. Huduma mbovu zinashinda huduma nzuri.Wapo walio vizuri mkuu, ila wengine ni vichomi.