abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,292
Nayasema haya baada ya kuwa nimeshafanya uchunguzi na kujiridhisha kuwa Matatizo nayopata Mimi ndio hayo hayo wanayo yapata wengi.
Siku hizi Mitandao ya simu imekua ikitoa huduma Mbovu za internet na hata bei za vifurushi.
Kwenye internet Mitandao Mingi sasa hivi Imekua haitoi Tena huduma ya 4g na hata ukipewa inakua 4g Jina tu hamna kinacho Fanyika.
Mfano ule Mtandao wa kule kwa Mpalange wao siku hizi Mtandao wao Umeamua utuibie wateja sababu wanajua kuwa si rahisi Mteja kubadilisha line kuringana na process za sasa hivi.
Na wanajua kabisa Baadhi ya Wateja wameshasajili line zaidi ya nne ivyo hawawezi kusajili tena.
Mitandao sasa hivi imekua na jeuri sababu now ni tofauti na Zaman. Sababu Zaman mtu ulikua unaweza kusajili line yoyote muda wowote na icho kiliwafanya wao kua Makin Sana na kufatilia kero za wateja wao.
Pia Ningeomba serikal iingilie ili swala kasi ya internet Tanzania imekua mbovu.