TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,551
- 20,259
Wakuu nna shida kidogo naomba msaada. Nategemea kwenda Tanga wiki ijayo kwa shughuli binafsi. Naomba mwenye kujua hoteli au lodge nzuri ya kisasa ambayo naweza kufikia. Bajeti yangu ni 30,000 - 50,000 na napendelea sehemu tulivu, safi na yenye huduma nzuri. Kuna thread ipo humu ila ni ya zamani sana 2012 sasa mi napenda sehemu mpya mpya ndio zinakuwaga nzuri. Natanguliza shukrani