Kama huna uzoefu na hotel za Arusha kwa nini umeuliza straight jina la hotel ambayo hauna ufahamu nayo?
Ushauri:
1. Omba kujua hotel nzuri kwa Arusha mjini kwa kadiri ya uhitaji wako (umesema utakuwa na familia)
2. Weka budget yako.
3. Unataka iwe maeneo tulivu au yenye kashkash (kuna hotel kama 2 zipo karibu na city centre/stand ni nzuri na bei nafuu) lakini pengine mazingira yasiwe rafiki sababu ya hekaheka...
Otherwise kama bado unakomaa kukaa hapo mjini kati basi check na Sevenskies au Venus Premier, angalau ni nzuri na well maintained...
Ukifunguka maswali ya juu hapo then recommendations zipo nyingine nyingi...