Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,163
We are doing things differently; this makes me think we are from a different universe; why we all the time think in different way? abnormalwakati inajengwa walikuwa wapi? Yaani sisi sijui tukoje!
wakati inajengwa walikuwa wapi? Yaani sisi sijui tukoje!
Sijui kama hii ipo hapa.
Ile Hoteli ya kitalii ya Snow Crest iliyozinduliwa Ijumaa iliyopita mjini Arusha na JK, imevunjwa leo alfajiri na maofisa wa Tanroads kwa maelezo kuwa sehemu ya majengo yake yalikuwa katika hifadhi ya barabara. Vitu vilivyovunjwa ni pamoja na geti kuu la kuingilia hotelini, sehemu ya fensi na kibanda cha walinzi.
Tamaa ya pesa. Kama Tanroads wamevunja si washitakiwe tu ili tuone nani mwenye makosa. Lakini vile vile hapa kuna mushkeli kubwa sana ilikuwaje JK aende kufungua Hoteli ambayo inaelekea ilijengwa kwa mizengwe.
...Mi nadhani kuna watu ambao sehemu fulani za ubongo wao zinahitilafu unless kama hao wamiliki wa hotel waliambiwa tangu mwanzo kuwa wasijenge kwenye hifadhi ya barabara wakapuuza otherwise ni uhuni kwenda kuvunja fence wakati gharama zimetumika nyingi tu. Ndio kukomoana?Sijui kama hii ipo hapa.
Ile Hoteli ya kitalii ya Snow Crest iliyozinduliwa Ijumaa iliyopita mjini Arusha na JK, imevunjwa leo alfajiri na maofisa wa Tanroads kwa maelezo kuwa sehemu ya majengo yake yalikuwa katika hifadhi ya barabara. Vitu vilivyovunjwa ni pamoja na geti kuu la kuingilia hotelini, sehemu ya fensi na kibanda cha walinzi.
...Mi nadhani kuna watu ambao sehemu fulani za ubongo wao zinahitilafu unless kama hao wamiliki wa hotel waliambiwa tangu mwanzo kuwa wasijenge kwenye hifadhi ya barabara wakapuuza otherwise ni uhuni kwenda kuvunja fence wakati gharama zimetumika nyingi tu. Ndio kukomoana?