Hotel za kitalii katika mbuga zafungwa hadi mwezi June, wafanyakazi watakiwa kurudi makwao

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
FB_IMG_1585320419624.jpg
 
Viongozi wa Africa wana cha kujifunza kwenye hili janga la Corona, Wananchi wa Africa tunachakujifunza pia kwenye hili janga la Corona..

Watu kwa kiasi kikubwa kuwa na maisha bora na kuishi modern life ni jambo la msingi sana na kipaumbele namba moja..Siasa za kijinga, uongo uongo na unafiki ni vitu vinavyotakiwa kuachwa mara moja na maisha ya watu yaboreshwe..
 
Mkuu unavyosema Ni kweli Ila kwa afrika maneno mengi kuliko utekelezaji
 
tuombe Mungu sana makanisani na misikitini hali hii iishe mara moja, kiukweli kabisa hali hii ikiendelea hivi Africa kwa kiasi kikubwa itaathirika sana maana dalili zinaonyesha tunaelekea kwenye "survival of the fittest" kila kuku na vifaranga vyake..

Wenzetu Europe, America na baadhi ya mataifa ya Asia atleast wanaweza kusurvive kwa muda kulingana na namna walivyoniweka during happy time, sisi huku Africa na siasa zetu za blah blah tunakwenda kuuana kwa muda mfupi sana kwa sababu ya njaa na uhalifu utakaokithiri ili watu waishi maana kwa muda mfupi sana serikali nyingi zinaweza kucollapse na nchi nyingi kusambaratika na hapo sasa kila mtu atataka atafute namna ya kusogeza siku, MUNGU MWINGI WA REHEMA TUSAMEHE MAKOSA YETU NA USITUFIKISHE HUKO NA HILI JANGA LINALOENDELEA TUNAOMBA ULIEPUSHIE MBALI..
 
Back
Top Bottom