gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,572
Wataendelea kulipwa mishahara?Waende nyumbani afu wanakula nn
Wataendelea kulipwa mishahara?Waende nyumbani afu wanakula nn
Vitaboreshwaje wakati hata rambirambi tu wanaiba tena bila aibuViongozi wa Africa wana cha kujifunza kwenye hili janga la Corona, Wananchi wa Africa tunachakujifunza pia kwenye hili janga la Corona..
Watu kwa kiasi kikubwa kuwa na maisha bora na kuishi modern life ni jambo la msingi sana na kipaumbele namba moja..Siasa za kijinga, uongo uongo na unafiki ni vitu vinavyotakiwa kuachwa mara moja na maisha ya watu yaboreshwe..
Roho mbaya
Duh..Sio roho mbaya ndio ukweli.
Wewe mwenye roho nzuri walipe misharaha na marupurupu yao.
Na dhani njia pekee ya kuondokana na umasikini sio serikali kuitolea lawama .Viongozi wa Africa wana cha kujifunza kwenye hili janga la Corona, Wananchi wa Africa tunachakujifunza pia kwenye hili janga la Corona..
Watu kwa kiasi kikubwa kuwa na maisha bora na kuishi modern life ni jambo la msingi sana na kipaumbele namba moja..Siasa za kijinga, uongo uongo na unafiki ni vitu vinavyotakiwa kuachwa mara moja na maisha ya watu yaboreshwe..
Serikali haijaleta corona. Wapambane na hali yaoWafanyakazi wawahi kulima hakuna mshahara, service charge wala tips.
Watanyooka sana.
Kufurahia matatizo ya wengine ni uchawi!Wafanyakazi wawahi kulima hakuna mshahara, service charge wala tips.
Watanyooka sana.