Hotel ya Kipekee Kisiwani Pemba Yaongelewa CNN

Hotel ya Kipekee Kisiwani Pemba Yaongelewa CNN

Fanya mpango wa kumiliki kitalu cha gesi...

Kwiiii kwiiiiii......tulisema haitoki, tukapogwaaa.... Mjini tunafukuzwaa kwa hela zaoo.... Sembuse tupate kitalu!!!! Ngoja nifikirie kugombea udiwan tuanzishe kampun ya wananchi tuombe kumiliki japo kakitalu..... Najarbu kuandika hapa njaaaa inaumaaaaaa
 
Mkuu msome Lisa, yeye ndo kaanza kuniita shemeji sijui ndo ananibania au ndo ukweli wenyewe au ndo ile kama wallet imefubaa warembo watabakia kuwa shemeji zako.

Lisa njoo ufafanue bana.

Mwalafyale, ni kweli kabisa Asprin ni shemeji yangu, na wala siyo wallet imefubaa, la hasha, na Asprin usiogope kuitwa shemeji Au ?????????? .Nisije nikang'olewa kucha na meno bila ganzi nipe tahadhari mapema bwana shemeji.
 
Dah kama ni mbuzi kula urefu wa kamba yake, hata kwa kamba za km1 kuna mbuzi hawakutii hapa.
 
Kazana kuchimba gesi utamudu tu babangu

Mmh kwa hali ilivyo, anaweza kuishia 'kuiona' tu kwenye bomba ikiwa inaenda Dasalama.....Si unajua ile ya Serengeti kuwa Tanzania na bado wengine hatujawahi kufika?
 
Huo mpango wa kumiliki kitalu utapenyezea wapi?! Wameambiwa wanaweza kuuza maji ya kwenye vimfuko na juice za kupima tu....

Hahahah!!! ila hii nchi yetu acha kabisa
 
Karibu pemba wakuu....pemba yetu nzuri sana....
 
Mwalafyale, ni kweli kabisa Asprin ni shemeji yangu, na wala siyo wallet imefubaa, la hasha, na Asprin usiogope kuitwa shemeji Au ?????????? .Nisije nikang'olewa kucha na meno bila ganzi nipe tahadhari mapema bwana shemeji.

Nakuhakikishia ulinzi.

Haya tiririka huu ushemeji nimekuolea dadako, kakangu kakuwowa, au kakako kaniolea dada.

Hapa hatuzungumzii nyumba ndogo ujue...
 
Watanzania watalala sana humo sana tu na zile biashara zao za sembe.....! Aaaaah watalala sanaa humoo
 
Safi. huo ndo ubunifu na wenye hela zao waende wakazifaidi.ila sasa sijui wazanzibar wanapata ajira hapa?
 
Nakuhakikishia ulinzi.

Haya tiririka huu ushemeji nimekuolea dadako, kakangu kakuwowa, au kakako kaniolea dada.

Hapa hatuzungumzii nyumba ndogo ujue...
Asprin mbona unasahau, yule mdogo wako, mtoto wa babayako mdogo, mkewe ndiyo mimi. Au umenifananisha na nani?
 
Hata mimi siwezi lala hata nivutwe kwa minyororo pengine niwekwe sijitambui. Kuna mchezaji mmoja sijui ni wa soka vile? Hapandi ndege kabisaaa, hivyo tunatofautiana kila mtu na vitu ambavyo hana amani navyo, kuna mwingine ukimwambia atembee kwenye majani yenye mchanganyiko na miti/porini utamuua hawezi
 
Back
Top Bottom