Hotel ya Kipekee Kisiwani Pemba Yaongelewa CNN

Hotel ya Kipekee Kisiwani Pemba Yaongelewa CNN

namkumbuka mwalimu wangu evance wa pale loyola aliniambiaga kuwa IKIWA MUNGU siku ya mwisho WAAFRIKA akiwachoma moto hatakuwa fair maana hapa tulipo tunaungua !!!! Yaani 2.3million kulla tu usiku mmoja wakati kuna watoto wanalala pale ubungo hawana hata kipande cha kujifunika
Sisi walalahoi tutaendelea kuwa:
(1)Wapagazi kwa hawa wajamaa wanaolala hapo
(2)Wanawake wazuri wa kulala nao hapo tutaendelea kuwaita mashemaji

Maisha sio fair kabisa!
 
Hotel ni nzuri ila mambo ya kulala kwenye maji yanatia hofu sana. Wengine tumetoka usafwani kule hata chemichemi tunaogopa hatujazoea maji kabisa

Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Isanga Mbeya
 
mie hata kwa bure silaliiiiiii ng'oo!waapi sunami?na tycoon!chezeiya kulala chini ya majiiiii,,acha hii fashen inipitee kabsaa
 
Nimechungulia kitovuti chao nimeona kamaneno yasemayo "Not for All". Sijaelewa maana yake nini, km wazawa haiwahusu, ama maskini (hata mzungu) haimhusu. Au nafikiri hii ni kama ya Mnemba Island, Komandoo Salmini Amour ametoa island iyo kwa miaka 100, usiombe uwe mvuvi alafu umepata mkosi ukasema ufikie kisiwa icho for emergency, utajuta kuzaliwa iyo fine na kifungo utakavhopewa! Nchi hii bana

Mnemba Island yani naona kama ndoto ujue, kwenye mitandano kinaonekana kipo kwenye tano bora ya visiwa vinavyokodishwa duniani. Noma zaidi sijui kodi yake inaenda wapi.. :crying:
 
Mnemba Island yani naona kama ndoto ujue, kwenye mitandano kinaonekana kipo kwenye tano bora ya visiwa vinavyokodishwa duniani. Noma zaidi sijui kodi yake inaenda wapi.. :crying:

The island itself is
privately owned and can be visited only as a guest
of the Mnemba Island Lodge, at a price of 1155 -
1500 US$ per person per night (2011 rates). At
these prices, the average Zanzibar citizen would have to work 4-6 years to spend one night on this island.[1] If -not being a guest- you accidentally set foot on the island you pay a hefty fine
 
Yote haya ndani ya mipaka ya Tanzania, basi inatosha maana inatia uchungu tu :yell:
 
Back
Top Bottom