jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,368
kibugumo hamna kitu kinachoniuma kama kila msichana mrembo hapa JF kuwaita shemeji!Umaskini mbaya sana kaka!Hawa warembo kama akina DEMBA akina lara 1 akina King'asti tunaishia ku like comments zao tu hapa!Sina uwezo wa kuwaalika lunch hotel ya maana katikati ya jiji la Dar
Sasa hotel kama hii ukiwa na hela si una mu invite tu hapo mnaongea!Milion 2 na ushee kwa siku mm ntazipata wapi?
Ili wajivinjari viwanja kama hivi mbinu pekee iliyohalalishwa na ccm ni kupokea rushwa, saini mikataba ya kunyonga ndugu zako pesa waingiziwa kwenye akaunt uswiiissssiiiii
Last edited by a moderator: