Hotel nzuri kwa Kinondoni

Hotel nzuri kwa Kinondoni

Dunia ilivyo ya ajabu

Yuko mtu atacomment sehem kumbe anampeleka kibla demu wake au mke wake

Yuko mwanamke atatoa comment kumbe yy ndo anapelekwa huko

Yuko mwingne atatoa location na kupasifia kumbe dada yake ndo anapelekwa

[emoji23][emoji23][emoji23]

Tusiwaze sana tumuelekeze mpwa [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Budget ni ndongo na unataka kufanya mambo makubwa?
 
Mkuu tuko hapa.... Tunasubiri mrejesho kwa hamu.
Usisahau vi photos...
 
sema gesti ya 20k, nenda Uhuru Peak pale, ina AC, ni around 25k ivi
 
Back
Top Bottom