Hotel / Lodge ya kukodi inahitajika

Hotel / Lodge ya kukodi inahitajika

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
10,870
Reaction score
10,089
Wakuu mwenye Hotel,Lodge,Bungalow au aina yoyote ya biashara ya malazi kwa miji ifuatayo

Dar es Salaam
Pwani nikilenga bagamoyo
Arusha
Mwanza
Kilimanjaro
Note:Mlengwa anaehitaji ni Mzungu
Unaweza kuni PM,kuna mtu anahitaji ili nimtumie options zinazopatikana kulingana na maelezo hayo kama alivyonipa.
 
Zipo kibao mkuu,cha msingi watafute madalali wa maeneo usika.ova.
 
Arusha:lodge nzuri saana inaitwa Bamakambi it is not operational...ni PM Nikupe contact ya owner au tembea R maeneo ya Sakina....ni nzuri.
 
Wakuu mwenye Hotel,Lodge,Bungalow au aina yoyote ya biashara ya malazi kwa miji ifuatayo

Dar es Salaam
Pwani nikilenga bagamoyo
Arusha
Mwanza
Kilimanjaro
Note:Mlengwa anaehitaji ni Mzungu
Unaweza kuni PM,kuna mtu anahitaji ili nimtumie options zinazopatikana kulingana na maelezo hayo kama alivyonipa.

Mkuu ulifanikiwa kupata sehemu ya ofisi
 
Mkuu ulifanikiwa kupata sehemu ya ofisi
Mrangi ofisi ile ya Dar city center sijaipata,maana aliekuwa anahitaji ni jamaa wa Kenya wanamiliki charter fulani hivi.
Sasa kama sikosei nahisi weekend hii atakuwa alitua Dar,sasa sijui nani amemnasa ila na assume.
Sasa kama umepata niambie tumtumie kama option
 
Arusha:lodge nzuri saana inaitwa Bamakambi it is not operational...ni PM Nikupe contact ya owner au tembea R maeneo ya Sakina....ni nzuri.
Pakalolo,asante mkuu.Unajua kuweka number ya mtu public sio vizuri.
Ni Pm number yake kisha nimcheck,mpango ukiwa maslahi yako yatalindwa.
 
Back
Top Bottom