COURTESY
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 2,006
- 712
hahahahaa kongosho bana,ulishakutana na bodiiiii kama hilo nn?wa hivi hamna kitu, manguvu ya kubeba vyuma meeeengi lakini kijiti hakinyanyuki chenyewe labda utumie chelewa.
Hawanivutii
hahahahaa kongosho bana,ulishakutana na bodiiiii kama hilo nn?wa hivi hamna kitu, manguvu ya kubeba vyuma meeeengi lakini kijiti hakinyanyuki chenyewe labda utumie chelewa.
Hawanivutii
hahahahaa kongosho bana,ulishakutana na bodiiiii kama hilo nn?
nguvu kazi inayopotea bure....
hasa ukichukulia nguvu nyingi hukimbilia kifuani.
Nimetumia roketi sayansi tu
Sijawahi kutana na hivyo, ila kwa kawaida zile nguvu hawanaga kabisa, au kama zipo za mawazo mno
Ukimtingisha tu, kitu kimesinyaa lol
uwakimbie wa nini hao kwanza wazuri kwa kupiga mitama,halafu wanawafaa wale wanawake wavivu wa mahaba maana wataishia kuyachezea hayo masambusa lakini kwa ishu ya bamia ni teke sana.hawafai kwa wadada utamu kama nyie.Kumbe wwe unawajua fika
Nikimbie kabla hawajaja hapa