Hot or not: Mr Africa International 2012 Contestants

Hot or not: Mr Africa International 2012 Contestants

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
[h=3][/h]

.....................................................................00000000000000000000000000000.jpg
...........................................................................000000000000000000000000000.JPG

...................................................................................00000000000000000000000000000.JPG
...............................................................................................00000000000000000000000000000000000000.jpg
Man candy from all over Africa. Hot or not?
 
why are they dressed like Mr. Gay Africa contestants? lakini hiyo miili ina mvuto I wish I had a body like that. Preta na Boflo mnasemaje kuhusu hizo body type?
 
Last edited by a moderator:
why are they dressed like Mr. Gay Africa contestants? lakini hiyo miili ina mvuto I wish I had a body like that. Preta na Boflo mnasemaje kuhusu hizo body type?

ooooh woooooow....am speechless.........oow oooow......hasa huyo wa mwanzo kushoto......uwiiiiii.......
 
Nguvu kazi inayopotea bure....
Adonis O'Holi is an actor, writer and model from Sierra Leone. On Saturday 7th October in London, he whooped other 16 countries to win Mr Africa International 2012.
Untitled.png

is he hot or not
see more pictures here
 
Nataka niwaone wakiwa wamerelax sio wanatunisha misuli halafu ndio wanapigwa picha!
 
ila wengi wao sana huwa ni gay ingawa hawajionyeshi kabisa hili nina uzoefu nalo ila ni siri zao, na kuna jarida la marekani mwezi uliopita linasema sasa hivi wanaume ambao ni gay/bi sexual wako fit kimazoezi kwa kutunisha miili yao na kuwa slim zaidi ya wanaume ambao ni straight. sasa hivi gay or bi sexual wanapenda sana waonekane wako fit ili wawe na mvuto zaidi. ila kwa utamaduni wetu bongo haturuhusiwi sana kuzungumza haya maneno. ila habari ndio hiyo. mwanaume anapiga picha avaa boxer na kuweka fb usifikiri anawaonyeshea wasichana no. mfuatilie vizuri mtaniambia.
 
wa hivi hamna kitu, manguvu ya kubeba vyuma meeeengi lakini kijiti hakinyanyuki chenyewe labda utumie chelewa.

Hawanivutii
 
Tafsiri yako ni potofu. Unaishi kwa mabavu? Mwisho wa siku uwe mnene, mwembamba, mlemavu... Ni pesa tu
Hapo ktk red bolded ndio penye tatizo.Vijana wetu Bongo wanafikiwa ku-camerouniwa kisa ni pesa tu.SHAME ON YOU!!
 
ila wengi wao sana huwa ni gay ingawa hawajionyeshi kabisa hili nina uzoefu nalo ila ni siri zao, na kuna jarida la marekani mwezi uliopita linasema sasa hivi wanaume ambao ni gay/bi sexual wako fit kimazoezi kwa kutunisha miili yao na kuwa slim zaidi ya wanaume ambao ni straight. sasa hivi gay or bi sexual wanapenda sana waonekane wako fit ili wawe na mvuto zaidi. ila kwa utamaduni wetu bongo haturuhusiwi sana kuzungumza haya maneno. ila habari ndio hiyo. mwanaume anapiga picha avaa boxer na kuweka fb usifikiri anawaonyeshea wasichana no. mfuatilie vizuri mtaniambia.
wala hujakosea.
 
Back
Top Bottom